Bodi ya mikopo kuverify NIDA unachangamoto shida nini?

Bodi ya mikopo kuverify NIDA unachangamoto shida nini?

NIDA hawako seriously Huenda mitambo yao imehakiwa na wanaogopa kusema!

Vinginevyo huenda ni mbinu ya kushinikiza wapewe fungu la kupiga ufisadi au kuna mchongo wameuseti au wanalazimisha zabuni ya mitambi ya 10%
HSIWEZEKANI MITAMBO IZIMWE WIKI WAKO KIMYA
 
Back
Top Bottom