Bodi ya mikopo kulikoni mna ubaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo kulikoni mna ubaguzi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kayabwe, Jul 1, 2012.

 1. Kayabwe

  Kayabwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 334
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wanafunzi wa Jordan-Moro walienda field kabla ya wa UDS zaidi ya wiki mbili.Cha kushangaza hatujapata pesa ya field lakini UDSM wamepata.Kwanini?
   
 2. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,596
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Nguvu ya umma iliyopo UDSM. Serikali hii ni dhaifu, bila shinikizo haifanyi kitu
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  LiWALO NA LiWE
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Udsm kuna nguvu ya umma.asa nyie mnajifanya walokole wataacha kuwadharau!
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,043
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  ninyi si ndio mmnajifanya magamba liwalo na liwe
   
 6. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Poleni mi nimesahau ata tarehe niliyoingiziwa,uenda tatzo lipo apo chuon kwenu na serikali yenu ya wanafunzi kwa kuto kufatilia kwa ukaribu zaid swala hili.
   
 7. J

  John W. Mlacha Verified User

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  wanafunzi wote ama wa kiislamu tu? Si NECTA na serikali ya ccm wanapendelea wakristo
   
 8. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2014
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  :wacko:
   
Loading...