STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,410
- 6,997
Pagumu hapo kaka...!Hatari zaidi ya uhalisia wake...!
Umeona tulikotokea huko(Yaan ume-reply comment iliyotokana na comment yangu)... Alafu uje useme eti ulim-quote mtu mwingine..!!!Nimeona Uzi zake nying akiongelea maswala ya mkopo daaah sijui anasomeaga nn[emoji848][emoji848][emoji848]
Narudia tena achana na mm kijna, Me siogopi ban nishawahi kupigwa ban la mwaka so usinizingue kudadadeq
Hizo kejeri zako peleka kwa shangazi wako