Bodi ya mikopo(HESLB) wanaachilia lini Majina?

Bodi ya mikopo(HESLB) wanaachilia lini Majina?

frey kimbwi

Member
Joined
May 14, 2015
Posts
42
Reaction score
16
Wadau nimesikia eti leo asubuhi body imeachia baadh ya majina ya watu walio pata mkopo. Kwa wataalam wa heslb tuambieni ukweli.. Na kma ni kweli naombeni proces za kuingia kwenye body pg ili nami niweze kuyaona....
 
Ninachojua ni bado tu kuwa mpole ndugu maana hata mimi ni mhanga katika hilo... Wataweka tangazo kwa web yao...
 
Wadau nimesikia eti leo asubuhi body imeachia baadh ya majina ya watu walio pata mkopo. Kwa wataalam wa heslb tuambieni ukweli.. Na kma ni kweli naombeni proces za kuingia kwenye body pg ili nami niweze kuyaona....
Duuh utaua na presha atheeeee...umezipata wapi hizi taarifa???
 
ndan ya week hii bodi ya mkopo itatoa majina ya wanafunzi watakao nufaika na mkopo
 
Hizi habari za mikopo daah,zasikitisha wengine tushaanza masomo na tangazo la Ada limebabdikwa kwenye notice board
 
Wadau nimesikia eti leo asubuhi body imeachia baadh ya majina ya watu walio pata mkopo. Kwa wataalam wa heslb tuambieni ukweli.. Na kma ni kweli naombeni proces za kuingia kwenye body pg ili nami niweze kuyaona....

Body ya mikopo itakua kweli imetoa mwenyewe naskia skia ila board (heslb) yenyewe bado
 
hivi wadau kama mtu alisahau kutoa copy fomu zake za mkopo, majina takiyoka na ye akiwamo ataruhusiwa kusaini akiwa na risiti tu?
 
kwa mfano mtu hakuomba mkopo kabisa kutokana na sababu mbalimbali binafsi, je akifika chuoni anaweza kuomba mkopo na ni atua gani ambazo atatakiwa azifanye ili aweze kuomba mkopo
labda mkopo wa benki, ila wa bodi una mda wake wa kuomba na ikipita ndo imeshapita inabidi ungoje mpaka mwakani uombe tena
 
Back
Top Bottom