Momazi
Member
- Jan 5, 2023
- 47
- 54
Nikikumbuka maneno ya mbunge huyo wa Jimbo la Bunda vijijini alisikika akisema kama angeweza angefuta boom vyuoni, kwa kuwa alikuwa akiishauri serikali maana yake ushauri wake umepokelewa.
Kama haukupokelewa ni kwa Nini hadi nukta hii bodi imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo, mbona kama bodi imekuwa wakati mwingine ikifanya makusudi? Binafsi naomba hao wanufaika wapewe haki uao kwani wanafunzi wana hali mbaya sana huko vyuoni.