jaman hii bodi mi sielewi kwanini hawajibu email zetu na hata ukipiga simu hawapokei nini tatizo au nitumie nauli 70000 niende dar . Magufuli komesha hii kero
Kuna dogo kakosea kutuma pesa hapa ameacha ile S basi ni shida tupu, hawana 24hrs simu za kuwahudumia wateja wao wakati maombi watu wanaomba 24hrs. ni matatizo matupu