Hivi Bodi ya Mkopo (HESLB) inaongozwa na wasomi kweli?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,100
34,049
Habarini Wadau,

Hawa jamaa wa Bodi ya Mkopo (HESLB) wameshakuwa kero sasa na wana maudhi sanaa.

Najiuliza kama wana weledi kweli au wanafanya makusudi tu.

Nilipata tatizo la kukatwa pesa kila mwezi kutoka katika salary na Salary Slip inaonesha wazi hilo, ila nilikuwa nashangaa sana iweje bado niendelee kudaiwa ilihali walianza kunikata pesa zao muda mrefu? Niliamua kwenda kwenye Zonal Office Arusha ili kupata Loan statement, nilichokuta ni kuwa kuna miezi mingi sana walinikata lakini kwenye statement haionekani.

Pia kuna wakati wananikata kiasi tofauti yaani mara mbili kwa mwezi kwa codes tofauti na kiasi tofauti

HIVI HAWA WAFANYAKAZI HAWAONI HAYO?

Nikaamua kuwasilisha tatizo hilo, cha ajabu tangu October mwaka jana hawajashughulikia mpaka leo hii na walishaniforwadia documents zote walizosema wametuma HESLB HQ kufanyiwa kazi lakini bado tatizo lipo

Tangu wiki hii ianze nimekuwa nikiwacall kwa namba walizoweka pale za wateja na nimewawhatsapp lakini hawapokei simu wala hawajibu message.

Kwanini HESLB hawatatui matatizo ya Wanufaika wao?
 
Ulisiomea kitonga
 
Ushauri wangu:

Nenda Bodi kalishughulikie suala Hilo, ukiendelea kupiga simu ndugu Kuna uwezekano mkubwa ukastaafu kabla simu yako haijapokelewa.
 
Habarini Wadau,

Hawa jamaa wa Bodi ya Mkopo (HESLB) wameshakuwa kero sasa na wana maudhi sanaa.

Najiuliza kama wana weledi kweli au wanafanya makusudi tu.

Nilipata tatizo la kukatwa pesa kila mwezi kutoka katika salary na Salary Slip inaonesha wazi hilo, ila nilikuwa nashangaa sana iweje bado niendelee kudaiwa ilihali walianza kunikata pesa zao muda mrefu? Niliamua kwenda kwenye Zonal Office Arusha ili kupata Loan statement, nilichokuta ni kuwa kuna miezi mingi sana walinikata lakini kwenye statement haionekani.

Pia kuna wakati wananikata kiasi tofauti yaani mara mbili kwa mwezi kwa codes tofauti na kiasi tofauti

HIVI HAWA WAFANYAKAZI HAWAONI HAYO?

Nikaamua kuwasilisha tatizo hilo, cha ajabu tangu October mwaka jana hawajashughulikia mpaka leo hii na walishaniforwadia documents zote walizosema wametuma HESLB HQ kufanyiwa kazi lakini bado tatizo lipo

Tangu wiki hii ianze nimekuwa nikiwacall kwa namba walizoweka pale za wateja na nimewawhatsapp lakini hawapokei simu wala hawajibu message.

Kwanini HESLB hawatatui matatizo ya Wanufaika wao?
Wewe ndio msomi
 
Ofisi za umma hazijawahi kuwa serious hata siku moja, ikumbuke 45% ya CAG.
 
Back
Top Bottom