Moyibi
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,054
- 710
Kwa taarifa nilizopata Hivi Punde kutoka kwa Chombo changu kinachoaminika ni Kwamba Bodi Ya mikopo << HESLB >> kwa sasa Haina Pesa Ya kutosha ya kuweza kulipia kila mwanafunzi Ada Yake Ya chuo na Inasemakana wapo taYari kutoa Majina iwapo tu Serikali kupitia kitengo Chake Cha Wizara Ya elimu itatoa Fungu la Kutosha !!
ANGALIZO: kwa wale ndugu Zangu ambao vyuo vyao vitafunguliwa katikati Ya mwezi Huu wa 9 waanze kujichangachanga Maana HESLB hawatatoa Majina Hivi Karibu Uhakika ni Mwezi Wa kumi kwani Vyuo vingi vinategemewa kufunguliwa tarehe za mwanzo wa mwezi wa kumi !? Mwenye kuamini na amini na asiYe amini Basiii