KERO Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ifuatilie Premier Bet, ukishinda hawakupi hela yako, wana ku-block

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako.

Ukiwapigia simu wanakwambia tumeona una accounts zaidi ya moja za Premier Bet ilihali sina na pesa iliyoko kwenye akaunti huwezi kufanyia lolote, malalamiko haya yapo kwa watu wengi tumejitahidi kufanya mawasiliano na gaming board tumeshindwa kuwafikia.
 
Maisha ni uchaguzi wako haa mabasi yapo yaliyochoka na mapya na nauli ni moja so unachagua wewe...betpawa wapo ,sporbe wapo...odds zilezile ,markets zilezile sasa kwanini uende kwa wa hao
 
fika ngazi ya juu ya hiyo bodi ya michezo, kwa mujibu wa waziri mkuu
 
Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako.

Ukiwapigia simu wanakwambia tumeona una accounts zaidi ya moja za Premier Bet ilihali sina na pesa iliyoko kwenye akaunti huwezi kufanyia lolote, malalamiko haya yapo kwa watu wengi tumejitahidi kufanya mawasiliano na gaming board tumeshindwa kuwafikia.
Hiyo ni kesi na unaweza kudai hata fidia na hata kampuni kufungiwa
 
Ila pia watu wewe makini na ku improve account security..na pia kusoma rights na condition za kampuni....mimi 1x bet nilifungua account mara mbili kweli mwakani block na ili waniiunblock
Hello and welcome to our customer support! My name is Emily 💜

I apologize for the long response to your message. Unfortunately, we have many requests now. Please note that we still require this information from you:
  • the photos of the document you indicated in your account (both sides);
  • all the phone numbers you have and the one you want to use after merging.
The photos need to be at least 1MB, JPEG or HEIC, showing the whole document and all information clearly. No edits or copies allowed, only original photos. Also, please indicate your current location. Our rules state that multiple registrations are not allowed on our platform, and this helps us ensure a fair and secure experience for everyone.

We look forward to hearing from you!
 
Umenikumbusha mbal sana, nshawahi kufanya kazi premier miaka hiyo, ndio kampun ya kwanza ya kubet nadhan kama sio meridian, sasahivi upinzani umewashinda wameishiwa kabisa.

Hawa wahindi wa kitambo sana ila ndio washafeli, na jina muhindi lilitokana na kampuni hii
 
Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako.

Ukiwapigia simu wanakwambia tumeona una accounts zaidi ya moja za Premier Bet ilihali sina na pesa iliyoko kwenye akaunti huwezi kufanyia lolote, malalamiko haya yapo kwa watu wengi tumejitahidi kufanya mawasiliano na gaming board tumeshindwa kuwafikia.
BIla shaka umeshinda hela nyingi sana
 
Back
Top Bottom