Bodi ya ligi tafuta matokeo ya Simba huko Egypt

We jamaa mbona uΓ±apenda kutukera na kutudhihaki?
Tutakushtaki kwa Karai aiagize kamati yake ikufungulie mashtaka, ufungiwe miaka 2 kujihusisha na soka ndani na nje ya BONGO.
 
Refa hakuenda kuangalia VAR aliambiwa kwenye simu,

Hitimisho refa anadharau sana ashitakiwe kwenye bodi ya ligi, kikikiki
 
We jamaa mbona uΓ±apenda kutukera na kutudhihaki?
Tutakushtaki kwa Karai aiagize kamati yake ikufungulie mashtaka, ufungiwe miaka 2 kujihusisha na soka ndani na nje ya BONGO.
πŸ€£πŸ˜‰ Tukutane CAS
 
Nimesoma ulichoandika chote nimegundua Ngara23 umeongeza chumvi
 
Wee huponi tena, wamesha chelewa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajua simba sio mbumbumbu tu ila pia ni viziwi kabisa , tushawaambia sana makolo timu yao mbovu wachezaji ni kiwango cha championship walete pesa tuwape Pacome na Max ila hawasikii, ona sasa jumatano watapigwa goli mbili safi ndani nje na kubaki na kombe la mapinduzi la mwaka juzi.

Kilio lazima simba wapeleke bodi ya ligi kudai matokeo yote yafutwe kisa eti Al Masry wameleta wachezaji warefu kuliko kina Kibu mipira yote ya juu wanacheza wao tu, pia watalalamikia upotezaji muda, waarabu kujiangusha, wachezaji Al Masry wana afya kuliko wa kwao na mwisho lawama kwa meneja uwanja kuzuia wazee na mbuzi kutinga lupaso, bodi itaiamrisha CAF na mechi zitarudiwa!
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Alisikika utopwinyo mmoja hv kutoka kwa manjunju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…