Bodi ya ligi hawajui majukumu ya timu mwenyeji

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,898
Reaction score
36,398
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo

Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani

Majukumu ya timu mwenyeji
1.kuandaa uwanja na vifaa
Timu mwenyeji (Yanga) ana jukumu la kimuandalia Simba vifaa vya mchezo kama mipira na cones za mazoezi

2 kukaribisha timu mgeni
Kuhakikisha usalama wa miundo mbinu, Simba wakivamiwa bodi ya ligi watajibu Nini?

3. Waamuzi
Timu mgeni Huwa unawasiliana na waamuzi wa mchezo kuwapokea na kuwaandalia mazingira salama ya kazi kama usalama wa vyumba n.k

4 Vyombo vya habari
Timu mgeni huwakaribisha waandishi na wapiga picha
Sasa hiyo derby waandishi wa habari watakaza wapi na mechi haina mwenyeji

5 Mauzo ya tickets na mapato
Timu mwenyeji ndo hufanya Mauzo ya tickets Kwa mashabiki Sasa hiyo derby mashabiki watafikaje na kuingia uwanjani ikiwa mwenyeji hajaridhia kucheza

6. kuandaa miundo mbinu yote
Kuanzia parking, security, protocol za wageni n.k

7 promotion ya mechi
Hiyo mechi nani ataitangaza na kutoa hamasa ya mashabiki kuja kiwanjani

Bodi ya ligi wamepanga kuhujumu Yanga na kuangamiza football Kwa kuibeba Simba
 
Haya ndiyo madhara ya kushindwa kusimamia misingi, kanuni na sheria zilizowekwa! Na badala yake watu wanaongozwa na ushabiki wa timu. Hata ukija kwenye siasa nako mambo ni hayo hayo.
 
Daaah🤣🤣🤣😂😂😂

Kumbe huwa kuna ban. Haya bhana, kama ni kiwewe basi kinaelekea kwenye uchizi.

Pitia uzi wako urekebishe spellings na baadhi ya maneno. Maana umechanganyikiwa hadi unashindwa tofautisha mwenyeji na mgeni

Mtacheza tu.jpg
 
Kwa ufupi, huu upuuzi hauzuii Bodi ya Ligi kutekeleza majukumu yake. Lazima ipange ratiba kwa mujibu wa majukumu iliyonayo.

Hayo mengine watajua wahusika kwani utaratibu unajulikana.

VILE HUKO HAKUNA AKILI KASORO WAWILI TU, HUWEZI KUELEWA😎😎
 
Kwa iyo CAF nao huwa wana wauliza timu mwenyeji kisha ndio wana andaa ratiba ?
 
Mnagoma mitandaoni?

Andikeni barua rasmi kuiambia au kuijulisha Bodi ya Ligi kwamba mmegoma hamchezi derby Utopolo nyie.

Mmekazana kugoma JF, X na facebook wakati mnazijua ofisi za TFF.
Mtacheza tu.jpg
 
Haya ndiyo madhara ya kushindwa kusimamia misingi, kanuni na sheria zilizowekwa! Na badala yake watu wanaongozwa na ushabiki wa timu. Hata ukija kwenye siasa nako mambo ni hayo hayo.
Na TFF&BODI YA LIGI wanawategemea wanasisa ndiomaana wanaweza kufanya vitu vya hovyo. Tff na bodi ya ligi hawana tena uwezo wa kuwarudisha yanga kwaajili ya mchezo namba 184, watakaowarudisha yanga uwanjani ni WANASIASA hasa jumba jeupe.
 
Bila kuondokana na itikadi ya kubembeleza Simba na Yanga mpira wa Tanzania hautakaa uendelee ipasavyo.

Uingereza vilabu vikubwa Liverpool na Manchester United havibebwi pale uwezo wao unaposhuka. Liverpool imedima zaidi ya miaka 20 huku bado Manchester wanajitafuta.
 
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo

Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani

Majukumu ya timu mwenyeji
1.kuandaa uwanja na vifaa
Timu mwenyeji (Yanga) ana jukumu la kimuandalia Simba vifaa vya mchezo kama mipira na cones za mazoezi

2 kukaribisha timu mgeni
Kuhakikisha usalama wa miundo mbinu, Simba wakivamiwa bodi ya ligi watajibu Nini?

3. Waamuzi
Timu mgeni Huwa unawasiliana na waamuzi wa mchezo kuwapokea na kuwaandalia mazingira salama ya kazi kama usalama wa vyumba n.k

4 Vyombo vya habari
Timu mgeni huwakaribisha waandishi na wapiga picha
Sasa hiyo derby waandishi wa habari watakaza wapi na mechi haina mwenyeji

5 Mauzo ya tickets na mapato
Timu mwenyeji ndo hufanya Mauzo ya tickets Kwa mashabiki Sasa hiyo derby mashabiki watafikaje na kuingia uwanjani ikiwa mwenyeji hajaridhia kucheza

6. kuandaa miundo mbinu yote
Kuanzia parking, security, protocol za wageni n.k

7 promotion ya mechi
Hiyo mechi nani ataitangaza na kutoa hamasa ya mashabiki kuja kiwanjani

Bodi ya ligi wamepanga kuhujumu Yanga na kuangamiza football Kwa kuibeba Simba
Wameamua kujizima data
 
Kwa ufupi, huu upuuzi hauzuii Bodi ya Ligi kutekeleza majukumu yake. Lazima ipange ratiba kwa mujibu wa majukumu iliyonayo.

Hayo mengine watajua wahusika kwani utaratibu unajulikana.

VILE HUKO HAKUNA AKILI KASORO WAWILI TU, HUWEZI KUELEWA😎😎
Makolokolo Mwandamizi Kungwi akijihusisha na vinavyomzidi akili.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
JamiiForums-1072397695.jpeg
 
Mwalimu wako alikuwa na kazi kubwa sana kukufundisha kuandika ili watu wakisoma waelewe.Na kwa kazi hiyo alifeli vibaya sana.
Rudia usome ulichoandika.
Wisdom is chasing you but you are always faster. What a waste of sperms.
 
Kwa mfano Yanga tufanye kama kile tulichofanya tarehe 8 na Simba wakagoma Tena je TFF watatumia Tena busara?
 
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo

Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani

Majukumu ya timu mwenyeji
1.kuandaa uwanja na vifaa
Timu mwenyeji (Yanga) ana jukumu la kimuandalia Simba vifaa vya mchezo kama mipira na cones za mazoezi

2 kukaribisha timu mgeni
Kuhakikisha usalama wa miundo mbinu, Simba wakivamiwa bodi ya ligi watajibu Nini?

3. Waamuzi
Timu mgeni Huwa unawasiliana na waamuzi wa mchezo kuwapokea na kuwaandalia mazingira salama ya kazi kama usalama wa vyumba n.k

4 Vyombo vya habari
Timu mgeni huwakaribisha waandishi na wapiga picha
Sasa hiyo derby waandishi wa habari watakaza wapi na mechi haina mwenyeji

5 Mauzo ya tickets na mapato
Timu mwenyeji ndo hufanya Mauzo ya tickets Kwa mashabiki Sasa hiyo derby mashabiki watafikaje na kuingia uwanjani ikiwa mwenyeji hajaridhia kucheza

6. kuandaa miundo mbinu yote
Kuanzia parking, security, protocol za wageni n.k

7 promotion ya mechi
Hiyo mechi nani ataitangaza na kutoa hamasa ya mashabiki kuja kiwanjani

Bodi ya ligi wamepanga kuhujumu Yanga na kuangamiza football Kwa kuibeba Simba
Kwani ndio mara ya kwanza timu mwenyeji kugomea mechi?
 
Tatizo na aina ya watu walio chaguliwa, Wana uwezo
 
Hao wooote uliowataja hapo juu sio wageni wa kwa mkapa so watajihudumia wenyewe. Simba anatwaa point 3 za mezani bila kukuli kakala yoyote
 
Back
Top Bottom