Bodi ya chakula Zanzibar yakamata Tende "FEKI"

mgomba101

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
1,817
706
BODI ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar imefanikiwa kukamata tani mbili za tende zilizokwisha muda wake katika maghala mawili Mjini Zanzibar.Tende hizo zimegunduliwa zikiuzwa na wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) katika maeneo ya Darajani kwa bei ya Sh500 kwa nusu kilo na kupigwa Muhuri wa bandia kuwa zinafikia kikomo cha matumizi yake mwaka 2012.

Ukamatwaji wa tende hizo unatokana na Operesheni ya kukagua bidhaa katika Mabucha mbali mbali ya Nyama kulikofanywa na Bodi hiyo jana katika maeneo mbali mbali ya Mjini Zanzibar.
 
ARVs feki! vyakula feki! Electronics equipments feki! hii nchi nayo itakuwa na viongozi FEKI tena dhaifu kwa maana halisi!
 
Cuf na uhamusho wanapenda tende nahisi watakuwa wameleta wenyewe kwa uroho wao ili wale
 
Hivi Zanzibar wanazalisha Tende? Kama hawazalishi zinatoka Nchi gani? Na kama zinatoka nje, kweli wanaotuletea Tende mbovu wanatupenda!
 
cuf na uhamusho wanapenda tende nahisi watakuwa wameleta wenyewe kwa uroho wao ili wale
ndi0 wazee wa tende na halua mabo mujaraba safi sana! Si ndi maana tunataka tujitoe kutoka tanganyiaka hawa wanatubania tende na halua za bure kutoka dubai, yemen na oman na muscat
 
Back
Top Bottom