Bodi ya bajaj inayotumia gesi vs bodi ya bajaj inayotumia petrol

Bodi ya bajaj inayotumia gesi vs bodi ya bajaj inayotumia petrol

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
619
Reaction score
366
Habari wakuu.

Kuna hizi bajaj zinazotumia gesi zenye viturubai vya njano, asilimia kubwa unakuta ni namba E lakini bodi yake imechoka mbaya mbovu kama namba A vile.

Lakini unakuta hizi ambazo hazina mfumo wa kutumia gesi bodi zake zipo njema sana. Sasa hizi za gesi zenye viturubai vya njano zinapigishwa sana kazi au ni utunzaji mbovu tu wa madereva? au bodi zake ni nyepesi sana kuchoka.

Wataalamu wa bajaj hebu tujuzane kabla sijajichanganya
 
Sijui kwa upande wako hizo zilizochoka umezionea wapi. Barabara ninazopita kila siku kwenda kazini na kurudi (Morogoro na Mandela) huwa naona bajaj za gesi ndio mpya na zina body safi sana kuliko za petroli. Na zina mwendo mzuri tu. Labda huko ulikoziona huwa wananunua kwa hawa ambao wamezitumia zimechoka.
 
Back
Top Bottom