Kuna issue fulan ya fedha za mikopo kupelekwa kwenye mikono ya wahasibu wa vyuoni na wanafunzi kuzichukua kwa kupanga folen badala kuwekewa kwenye a/c zao.Mi najiuliza kwamba je wahasibu hawatategeka kukimbia na rundo la hela hususan kwenye vyuo vinavyochukua wanafunzi wengi kama UDOM?