Bodaboda zimepigwa marufuku Dar nzima sasa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Habari,

Nimepanda bodaboda hapa jijini sasa dereva bodaboda ananiambia polisi wanavamia vituo vyote na kukamata pikipiki kwa kuwa haziruhusiwi tena popote Dar es salaam, amri kutoka kwa huyu mrithi wa Kova.

Mwenye uthibitisho atuhakikishie plz.
 
Last edited by a moderator:
habari, nimepanda bodaboda hapa jijini sasa dereva bodaboda ananiambia polisi wanavamia vituo vyote na kukamata pikipiki kwa kua haziruhusiwi tena popote dar es salaam,amri kutoka kwa huyu mrithi wa kova, mwenye uthibitisho atuhakikishie plz

Siyo kweli na unapotosha ni kwamba wameambiwa wote wajisajili TRA ili walipe kodi na wameongezea Mwezi mmoja zaidi kufanya hivyo baada ya hapo ambaye bado atakuwa hajajisajiri ndiyo atakiona ni hivyo tu!
 
TRA na polisi wanasumbua bodaboda bure, tulishawashauri humu kodi ya vyombo vya moto iwekwe kwenye mafuta kwishaaaa
 
Kuna bodaboda mmoja alimkwapulia mdada kibegi chake na akapiga gear na kusepa, naona hesabu ya bosi ilikuwa haija timia. Hawa boda boda waachwe tu! wasilipe kodi.

habari, nimepanda bodaboda hapa jijini sasa dereva bodaboda ananiambia polisi wanavamia vituo vyote na kukamata pikipiki kwa kua haziruhusiwi tena popote dar es salaam,amri kutoka kwa huyu mrithi wa kova, mwenye uthibitisho atuhakikishie plz
 
TRA na polisi wanasumbua bodaboda bure, tulishawashauri humu kodi ya vyombo vya moto iwekwe kwenye mafuta kwishaaaa
Hili ni bonge la wazo kila siku watu wangekuwa wanalipa kodi ukisafiri mbali zaidi umelipa zaidi
 
Wewe unashindwa kushauri dada zako njia ya kukusanya mapato kwenye biashara zao, leo unataka kuishauri TRA
 
sasa mm ninayetaka kuanzisha biashara ya bodaboda itakuwaje maana sasa mambo ya kodi balaa
 
Hili ni bonge la wazo kila siku watu wangekuwa wanalipa kodi ukisafiri mbali zaidi umelipa zaidi
Kwahio mtu ambaye chombo chake sio cha Biashara au sio Bodaboda atakuwa na bei yake ya mafuta Petrol Station ?, au Bei yote ya mafuta ipande Jumla? au Vyombo vya moto vyote vikatwe kodi kwenye mafuta ? na Je anayenunua mafuta ya Generator au Tractor ?
 
TRA na polisi wanasumbua bodaboda bure, tulishawashauri humu kodi ya vyombo vya moto iwekwe kwenye mafuta kwishaaaa
Kwahio mtu ambaye chombo chake sio cha Biashara au sio Bodaboda atakuwa na bei yake ya mafuta Petrol Station ?, au Bei yote ya mafuta ipande Jumla? au Vyombo vya moto vyote vikatwe kodi kwenye mafuta ? na Je anayenunua mafuta ya Generator au Tractor ?
 
Wewe unashindwa kushauri dada zako njia ya kukusanya mapato kwenye biashara zao, leo unataka kuishauri TRA

Jamaa anaropoka tu na ushauri usiotekelezeka. Kuna vitu vingi inabidi vikae sawa kabla ya kupata wazo kama hilo.
 
Natamani hii habari ingekuwa ya kweli maana hawa Bodaboda kwa mjini ni shida ila kwa kule kusikokuwa na usafiri wa uhakika wanasaidia sana japo wananikera hawana helment na wala si makini wawapo road na vile wanavyonyoa viduku ndio wananikera mpaka basi.
 
huu ni wakat sasa kwa wate daji tuliowapa mamlaka waache kufikiria kwa ma**ko na waanze Kufikiria kwa kichwa
 
Back
Top Bottom