Yakianza bila kujaribiwa vizuri madhara ni makubwa mno.Mojawapo ni hili la bodabodaHivi Haya mabasi kila siku yanajaribiwa
Usafiri mgumu sana kwa sisi abiria jamani hebu yaanze kazi
Kuna yule traffic mmoja huwa anawapiga vibao wakivuka pale...akikamata mmoja anamtandika fimbo au vibao mpaka anadondoka, huwa wanakera sana....nadhani kweli huacha akili nyumbani.Boda wanakera sana. Simama pale ubungo, angalia wanavyovuka barabara, ni kama wameacha akili zao nyumbani.