Bodaboda wavamia Lumumba kudai hela za mafuta

TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryB
 
hahahahaha Magamba yanaruka na kukanyagana yanaruka kinyama.... aisee hii video siwezi kuipata wasapu? Eti maboda boda yalikuwa elfu14 yote mafasi ya ccm. kumbe mpunga tu
 
acha kutapatapa lipa hao boda boda na mafuriko yenu ya kulazimisha mbaaaf kabisa
 
Mbona walipoteua mawaziri wakuu kutoka Kanda ya Kaskazini hamkusema? Fanya utafiti ni mawaziri wakuu wangapi wametoka Kaskazini na waliowateua waliteua wenye sifa. Mambo ya ukanda na ukabila no kuishiwa Sera. 2010 mlikuja na udini sasa mmeibuka na ukanda
 
TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryB

Walipeni vijana wa watu jamani, mafuta yamepanda!
 
Na wewe hebu acha kujifanya kama chizi, ongelea hii dhuluma mnayoifanya hata kwa wavujajasho bodaboda sio unapotezea kipumbavu.
 
Mchezo wa kulipa bodaboda hela za mafuta ni wa ukawa,myanyoshwa tu
 
Huu uharo Mpelekee Mbana sauti wa CCM yenu.

NONSESE!
 
Leo ni tareme 27/08/2015 itakapofika jumatatu 1/09/2015 porojo zinaweza kutupeleka jela tuwe makini na tuache upotoshaji wa makusudi............

Kwa hiyo mkuu, hiyo video hujaiona au???
...Ubishi gan huu, fanyeni muwalipe bhana.
 
.Maudhui yake siyo uliyoyaelezea ....Mshaanza kupanic ............ Tulieni msipanic ..JK alisema "Tutawanyoosha", Tutawanyoosha" mlifikiri mchezo....... Endeleeni kuzunguka Tandale, tandika, buguruni na kariakoo bila ya kujua ya kwamba wapigakura ni million 24 na dar es salaam inawapigakura million 2.6 wa UKAWA na CCM... wenzenu wamepiga Mbeya, Rukwa Kigoma, wanaelekea Njombe na Songea tarehe 30. kwa wale walio Dar es salaam Tukutane Konner Baa, Buguruni usiku na Mzee wenu kujifunza shida za Dada Poaaaaazzzzzzzzzzzzzz......Peo pleeeeeeeeeessssssss.
 
Asa maelezo yooooote hayo yanin akati mada n bodaboda kudai hela ya mafuta, au ndo umepaniki!!
...Back to the topic mkuu, au km vip hayo maelezo yako yaanzishie thread.
 
Back
Top Bottom