gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Watanzania bwana!!!!!
Hekaheka!
Watanzania bwana!!!!!
JK: Za kuunga unga...........Asa maelezo yooooote hayo yanin akati mada n bodaboda kudai hela ya mafuta, au ndo umepaniki!!
...Back to the topic mkuu, au km vip hayo maelezo yako yaanzishie thread.
Hii ilikuwa wakati jamaa ajakatwa ndo walilianzisha wakati wa kura za maoni
Leo ni tareme 27/08/2015 itakapofika jumatatu 1/09/2015 porojo zinaweza kutupeleka jela tuwe makini na tuache upotoshaji wa makusudi............
Cyber crime act, ikianza, tar 1 September, haha.... Mtaisha nyie waongo.