Bodaboda wavamia Lumumba kudai hela za mafuta

Bodaboda wavamia Lumumba kudai hela za mafuta

mpeleke lowassa kijitonyama wanawake hawamuoni.
 
Nimecheka hadi basi...nimejaribu ku share naona nimeshindwa! Hahaahahaah
 
Duh.....hii aibu balaa, Jmani hela za watu za mafuta zinatakiwa huko.......ha ha ha ha ha nimecheka sana.
 
CCM wote wako kimaslahi zaidi... Bodaboda walipwe haki zao... after all ni fedha zetu za ESCROW ...
 
safie sana... hamna kazi za kanisa, watoe hela za mafuta fasta!!! tupo kikazi hapa hamna cha mapenzi na magufuli
 
Hahaha ccm adi ela ya Boda Boda mnashindwa kuwalipa Boda Boda
 
jingalao njoo uone ccm inadaiwa na Boda Boda ela ya mafuta
 
Last edited by a moderator:
Inamaana pesa hawana au ndyo kuzoea ufisadi jamaniiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom