Bodaboda wana siri nzito

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
5,590
Points
2,000

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
5,590 2,000
Katika shughuli zangu za hapa na pale nilipata mda Wa kuchunguza hawa vijana wetu Wa bodaboda wanafanyaje kazi zao, lakini nimebaini hawa bodaboda wana siri nzito sana ukiamua kuzifanyia kazi;

Tunapokuwa makazini hawa bodaboda ndiyo wapiga doria mtaani

Hawa bodaboda ndiyo wanaobeba wake zetu kupeleka kwa mabwana mbalimbali

Hawa bodaboda kwa vile wanatunza siri za wake zetu mwisho Wa siku nao huambulia kuonjeshwa penzi na wake zetu ili wasiharibu mambo

Miongoni mwa vifo vya bodaboda ni double criminal; yaani Bodaboda wengi wanauwawa kwasababu ya either kwa kushindwa kutoa siri kwa mme anaebaini kuibiwa mke wake, kwahiyo mwenye mke huamua kulipa kisasi kwa kupanga shambulizi la kuua na kupora pikipiki ili kupoteza ushaidi. (wanawapora pikipiki ili kulifanya tukio lisionekane la kisasi kumbe nyuma ya pazia ni kisasi)

Hawa bodaboda wanafahamu wageni wanaoingia na kutoka mtaani kwako

Hawa bodaboda wanajua siri na aina ya ulinzi tulio nao

Hawa bodaboda wanafahamu kipato cha kila MTU, mwenye pesa na masikini

Hawa bodaboda wanafahamu mida yetu ya kutoka na kurudi majumbani

Bodaboda hawabagui Twiga,ngamia na suala yaani wanaweza kula mtoto,mama na mamamtu akijipendekeza.

Hawa bodaboda wakikosa wateja baadhi yao hubadilika na kuwa vibaka.

Hawa bodaboda wanatumikaga pia kuchora mchongo

Bodaboda hawa maeneo ya mipakani ndiyo wanaosafirisha magendo

Kuna bodaboda mmoja pale mikocheni anajulikana kwa mipira iliyopoa; yaani anatafuna marinda ya vichaa na walevi wanaolala mtarolini! n.k

ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO

Screenshot_20190405-162812.png

Screenshot_20190405-162753.png
 

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Messages
6,882
Points
2,000

Planett

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2014
6,882 2,000
Kuna boda mmoja nilipiga nae stori akaniambia huwa anaenda maeneo ya mbezi beach kwenye nyumba ambayo ipo underground then anakabidhiwa unga anausafirisha kwa boda kwenda moro ambapo akifika anapokelewa kwa ulinzi mzito kwenye nyumba ambayo ipo nje ya mji wa ,moro.........
 

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
5,590
Points
2,000

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
5,590 2,000
Kuna boda mmoja nilipiga nae stori akaniambia huwa anaenda maeneo ya mbezi beach kwenye nyumba ambayo ipo underground then anakabidhiwa unga anausafirisha kwa boda kwenda moro ambapo akifika anapokelewa kwa ulinzi mzito kwenye nyumba ambayo ipo nje ya mji wa ,moro.........
njoo pm nikupe zawadi Mkuu!
 

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
5,601
Points
2,000

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
5,601 2,000
Ushahidi: mm ni bodaboda, kuna mama mmoja mke wa mtu anapenda sana kunitumia kumpeleka sehemu za mishe yake.
Sasa huwa mumewe anasafiri safiri sana. Hivyo mama huniomba nimpeleke kwa mchepuko wake mida ya saa mbili usiku halafu nikamchukue SAA 4 usiku. Huwa hataki arudishwe na usafiri wa mchepuko.

Ikatokea na mm nimezoeana na binti yake pia, nikaanza kumla binti. Mama siku moja akanifunania ktk uchochoro na binti yake akaanza kunipiga biti.
Nami nikamtishia kuwa nitatoa siri. Akaufyata

Tukapatana na akaendelea kunitumia kumpeleka kwa mchepuko wake. Kuna Siu nikamkomalia kwamba sitaki hela nataka nyapu. Mama akawa hana namna akanipa nyapu. Nikawa nimefanikiwa kula mama na maana

Bodaboda ni bonge la kazi
 

Forum statistics

Threads 1,378,895
Members 525,244
Posts 33,727,800
Top