PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Anakuvutia ndiomaana unamfuTilia! Ulienda kanisani ukakosa watu, au nawewe unajiandikia lolote tu litakalokuja kichwani?
kulikua na mabenchi tu,
sasa sijui alikua anayabwekea na kuyafokea mabenchi au vip 🐒
 

..pole yao.

..hawajui kwamba serikali ingejenga kongani ya viwanda badala ya maofisi ya warasimu vijana wangepata ajira za maana badala ya kuendesha bodaboda.
 
Unafurahi kuona makanisa ni matupu kwa ibada isiyo na tatizo kisheria!!???
Hakika wewe ni zao la shetani.
Gentleman,
yaani mtu eaache kwenda kwenye shughuli zake za kutafuta riziki ababaike na porojo za ibada za kinafiki, surely?🐒
 
Mnashuhudia majengo na maji hamna bure kabisa.
Mlitakiwa kushuhudia maji sio majengo.

Hayo majengo watatumia hao wavaa suti
Maji mtatumia wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…