Hicho kiti kimekaliwa na kila mtu, halafu anaweka kipusele chake juu yake bila a good protection ya sehemu yake nyeti, sanasana ataishia kupata UTI na mafangasi yasiyo na mwenyewe.... mbaya sana hii ya kutojua namna ya kujijali hasa sehemu za siri
Ndio maana harufu na mbunye imekua ni tatizo la kitaifa, wanawake wanakosa kuelwa basics za pussy hygiene na kukandika douche na misabuni
kwa hicho alichovaa, na joto letu, na mijasho ya waliotumia hicho kiti... huyo dada ni mchafu to say the least
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.