Bodaboda wa usiku wengi ni Walimu

Bodaboda wa usiku wengi ni Walimu

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Walimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.

Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.

Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.

Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
 
Mtupumzishe sasa inatosha ..sura ile kama avatar yako..!
 
Hii ni hatari, kazi za usiku tena za bodaboda tunajua Matokeo yake wengi wanabakwa na kuuawa kabisa. Walimu ni waajabu sana hawana creativity yoyote Ile kila biashara nizakishamba na kitahila, wangejielewa wadai haki zao za posho, posho Kwa mtumishi wa umma ni lazima kwnn mwalimu hapati allowance ya maladhi na chakula kama wengine? Kwann Hana vikao vya Mara Kwa Mara kama madaktar?, kwann hawalipwi per diem na overtime kama wengine?, walimu wanaishi kama wapo kuzimu mpaka inawalazim wafanye kazi usiku kama vibaka

Walimu walimu walimu
 
Itakuwa maticha walikula ndogo Yako,siyo Kwa povu hilo
 
Walimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.

Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.

Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.

Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Kwa hiyo unataka nini?
Unaonaje ukaacha kuingilia maisha ya watu binafsi
Binafsi nawaheshimu sana waalimu, kwani najua changamoto ya kufundisha na kulea mashuleni
 
Walimu wengi, hasa wa kwenye shule zilizopo mijini wanamiliki bodaboda , hivyo usiku wanakesha kuongeza kipato Kwa kupakia abiria.

Mchana wanapiga vipindi, usiku wanatega na kutupakia sana.

Hii ni nzuri maana wanajiongeza ili kujikwamua kiuchumi.

Bodaboda wa usiku ni Walimu wanaotufundishia watoto wetu, tuwaheshimu sana.
Kweli
 
Hii ni hatari, kazi za usiku tena za bodaboda tunajua Matokeo yake wengi wanabakwa na kuuawa kabisa. Walimu ni waajabu sana hawana creativity yoyote Ile kila biashara nizakishamba na kitahila, wangejielewa wadai haki zao za posho, posho Kwa mtumishi wa umma ni lazima kwnn mwalimu hapati allowance ya maladhi na chakula kama wengine? Kwann Hana vikao vya Mara Kwa Mara kama madaktar?, kwann hawalipwi per diem na overtime kama wengine?, walimu wanaishi kama wapo kuzimu mpaka inawalazim wafanye kazi usiku kama vibaka

Walimu walimu walimu
Nilikuwa naisubili comment yako hapa, ila angalau kidogo umepunguza ukali
 
Akili za watoto wa late 90s

Back
Top Bottom