Jambo la msingi ni kuacha magendo.Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa
Tatizo liko wapi?
Tatizo hili hapa,
"nina bodaboda wangu"
Bodaboda huyo ndie anae vujisha siri mpaka unaacha au una achika.
Zinduka Bodaboda wako anaekupeleka magendo ndie aliyevunja mahusiano kadhaa mtaani fanya utafiti!
Ila kama anatoa taarifa ya kweli sidhani kama kuna shida.Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa
Tatizo liko wapi?
Tatizo hili hapa,
"nina bodaboda wangu"
Bodaboda huyo ndie anae vujisha siri mpaka unaacha au una achika.
Zinduka Bodaboda wako anaekupeleka magendo ndie aliyevunja mahusiano kadhaa mtaani fanya utafiti!
Naona "Member" tunaongezeka!Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa
Tatizo liko wapi?
Tatizo hili hapa,
"nina bodaboda wangu"
Bodaboda huyo ndie anae vujisha siri mpaka unaacha au una achika.
Zinduka Bodaboda wako anaekupeleka magendo ndie aliyevunja mahusiano kadhaa mtaani fanya utafiti!
hata hivyo mnawakopa sana aise dah!Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa
Tatizo liko wapi?
Tatizo hili hapa,
"nina bodaboda wangu"
Bodaboda huyo ndie anae vujisha siri mpaka unaacha au una achika.
Zinduka Bodaboda wako anaekupeleka magendo ndie aliyevunja mahusiano kadhaa mtaani fanya utafiti!
π₯π₯π₯Saa moja na dakika arobaini na mbili asubuhi mtu kashakula chuma tayari.
Acha magendo na ufuska bodaboda atakuwa hana la kusimulia, nyie ndo mnalaumu simu mbaya wakati simu yenyewe ukiongea inafikisha ujumbe tu, acha mambo mabaya uone kama Kuna mtu anakufuatilia, jilaumu mwenyewe kwa unachofanya si kwa anayetoa taarifa, mbona wewe ukiletewa za mtu wako na mambo yake humlaumu huyo bodaboda? Mkuki kwa nguruwe......Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa