Bodaboda na wake za watu

hhahahahahaa..umejuaje km wanasimamia kucha...hapana mie hata iweje..hata nibanwe vip
Story zao nyingi tukiwa maskini ni jinsi walivyomkula fulani, nani wamempiga style fulani, sijui mke wa fulani wamevunja mpk kibubu yaani wao story zao ni kushindana tu nani amekula mademu wengi.
Ila wake za watu wengi ni muhanga sana wa hawa jamaa na walivyo na sifa sasa akikula hawezi kukutunzia siri ndio maana inakua rahisi sana mke wa mtu kugundulika akichepuka na bodaboda.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 

hahhahaa...majanga aisee..mie nadhan ukimpa nafasi ndo matokeo hayo
 
hahhahaa...majanga aisee..mie nadhan ukimpa nafasi ndo matokeo hayo
Kua mzalendo wape siku moja halafu utuletee mrejesho hapa jamvini.
Ila usiruhusu wavunje kibubu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Kua mzalendo wape siku moja halafu utuletee mrejesho hapa jamvini.
Ila usiruhusu wavunje kibubu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk

😂😂😂 kwani nimesema mie nna uhitaji huo?hapana nipo full package kbs mkuu
 
Komenti bora 2018.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

😂😂😤😂😂... mimi natumia boda kwa nadra sana.. (nna matatizo ya mgongo)ila ht nikitumia eti sijawah ona boda wa kunisumbua kbs akili yangu jaman..yaan ht mume anikute nimrsimama na boda hatajali kbs kbs..inauma kiukweli...pole
 
Pole sana kwa matatizo ya mgongo,yupo dr. anasaidia sana matibabu ya migongo,kiuno,miguu. Ni dr.mzuri anatumia dawa hizi hizi za hosp ila ana namna ya uchanganyaji. Anaweza kukusaidia kabisa tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…