Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
uku kwetu wadada wa kazi ndo wanafaidika na ma boda boda yan wote wanajua ratiba ya bosi wao kurudi ni kujiachia tu wanapewa hadi chai yan usipo anglia hadi chamchana wanakula
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mimi mwenyewe mkuu? Kwa nini mkuu?
Halafu wana mtindo wa kuattack ili ujisikie inferior akikutongoza ukubali
Silaha yangu huwa ni kukaa kimya, nyumbani kwangu kwa nje kuna kijiwe chao, walishazungumza yote wakaona nipo kimya,siku hizi hakuna anaejishughulisha na mimi
Hongera sana mkuu!kwakweli haiwez tokea...never
Ni hivyo tu. Ukijitambua tu,unaongea nao kawaida,akija anga zile maadam unajitambua unamtolea nje huku unacheka,yeye kucheka atajua umeingia line,kesho za uso tena. Itakuwa heshima kwa wotehahhahaa mm wana mamisemo yao "wakubwa wanafaidi..ohh mumeo anafaidi..nawajibu ndio..ila ukiwachekea tu tegemea kuombwa namba[emoji55]..na vile wengi hawana elimu hahha full kero..wanakera sana saaana!
Ni hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....! Pole sana mkuu. Hapo libodaboda libonge lichafu. Pole sana,lakini naamini ulitatua mkuu?. Kwa hiyo hata liwe lichafu wanalo tu?Wanawake wanapenda sana kupanda bodabodA hata sehemu ambayo hangeweza tembea kwa miguu unakuta kwa siku anatumia zaid ya elf 5 kwenye bodaboda . Wakati mume wake kamuhachia elf 5 hapo bado hajatoa elf 2 ya kibati hajapika . Mwenzetu ishanitokea na niliwekA uzi umu jf . Baada ya kukuta sms za lijamaa la boda libonge lichafu.kwenye simu ya wife mpaka leo iyo kitu inaniuma
Sent using Jamii Forums mobile app
We ntakua nakupa nyama ya ulimi[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji23][emoji23][emoji23]fungua aisee nitakuwa nakuja kukuunga[emoji16]
Niliyamaliza kiume lakn sitasahau wala sitakaa nimuamin mwanamke tena nilichogundua mwanamke mwenye wivu ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....! Pole sana mkuu. Hapo libodaboda libonge lichafu. Pole sana,lakini naamini ulitatua mkuu?. Kwa hiyo hata liwe lichafu wanalo tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamejaa kibao humu ila na wao wanaunga mkono juhudi katika kuwakandia kwa sasa.Hao wanawake na boda boda walozungumziwa humu hawapo? embu tupeni mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππWe ntakua nakupa nyama ya ulimi[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104]
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Aaah...! Ana wivu eeeh? Kwa hiyo kama alikuwa analipiza kisasi hivi mkuu?Niliyamaliza kiume lakn sitasahau wala sitakaa nimuamin mwanamke tena nilichogundua mwanamke mwenye wivu ni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ndio wanaongoza kusimama ukucha wanapiga mashine mpaka unasikia harufu ya kuunga.hahhahaa mm wana mamisemo yao "wakubwa wanafaidi..ohh mumeo anafaidi..nawajibu ndio..ila ukiwachekea tu tegemea kuombwa namba[emoji55]..na vile wengi hawana elimu hahha full kero..wanakera sana saaana!
Ila ndio wanaongoza kusimama ukucha wanapiga mashine mpaka unasikia harufu ya kuunga.
Money kwa jinsi unavyowakandia mpka napata mashaka na wewe[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk