Bodaboda na wake za watu

Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Na pia bodaboda ndio waongoza kwa kuvunja kibubu naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana chama
 
Hawa wanawake wanafanana mkuu na si ajabu alikunjwa na boda boda tena uchochoroni tu kapandisha gauni then imo halafu hapa anavyowaponda wenzie

Hawaaminiki
Mimi nimenukuu maneno yake tuu, aliwahi kukiri humu kumsaliti mpenzi wake, Leo naona anatoa ushuhuda kuhusu wengine....
Ndugu zangu tuheshimu ndoa zetu hata kama kuna karaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Um Salute umemaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…