Bodaboda na wake za watu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watongoze watoto wetu na nyie. Heshima kwako sanaaaa. Kujitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Binafsi nikishaona tu Mwanamke wangu ameanza Kuzoeana na Madereva wa BodaBoda basi hapo hapo ndiyo mwisho Wetu Kimahusiano na mpaka sasa nimeshawamwaga / nimeshaachana na Wanawake kama 17 hivi kwa Kosa hili hili na hata huyu ambaye atakuja Saa 12 Jioni ya leo ' Kuuchezea ' nae akija tu na BodaBoda yatamkuta ya Wenzie. Na sipingi Wanawake Kutembea / Kungonoliwa na hao Madereva wa BodaBoda ila ukweli ni kwamba kama kuna Kundi la Wanaume wanaoongoza kwa Kuumwa Magonjwa ya Zinaa ya Kisonono na Kaswende ni Madereva BodaBoda na sasa nayaonea mno huruma Matako / Makalio yangu haya kwa kila Siku Kuchomwa Sindano kwani Vidonge huwa havinisaidii kabisa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]acha masiharah mkuu. Hapo kwenye 17. Utatema wengi kwa namna hiyo kiongozi. Huyu wa leo akifika tu kituo cha kwanza mvutie mkoko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie sehemu yenu mkuu kufikiria kumdokoa yule unaempeleka sokoni siku zote mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi bodaboda huwa huwa tunapewa penzi na wake za watu kutokana na sababu zifuatazo:
1.Huwa tunapewa penzi kama mbadala wa nauli
2.Wake za watu ambao huwa wana bifu na waume zao huwa wanatupa penzi la bure kama kulipiza kisasi kwa wanaume zao![emoji1][emoji1][emoji1]
3.Wake za watu wengi waume zao huwa wako busy na kazi kwa hiyo huwa hawatoshelezi wake zao na wake zao huwa wanaishia kutushobokea
4.Sababu nyingine ni urafiki na ukaribu mkubwa uliopo kati yetu sisi na wake za watu kutokana na kuwababe kila siku
5.Sisi bodaboda tupo sexy na tuna miili mizuri kuliko hao waume zao![emoji1][emoji1][emoji1]
 
kubadirisha = kubadilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…