Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,343
- 201,605
Nipe mwanao wa shule mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nashukuru sana mwisho wa siku huwa wanaongea kilicho moyoni mwangu...
au dada kwajili unaona siò hadhi yako[emoji23][emoji23] akisema hivyo najua kesi imeisha..hao hao watongoze watoto wetu wa shule hao hao watutake mama zao..shwain
Nipe mwanao wa shule mkuu
Na mimi ni Boda Boda nipo chini ya miguu yako
kwa hy inavyoonekana mwanamke ukimsifia tuu,anakupa papuchi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Manengelo hujui hapa duniani kilicho cha pekeyako ni kaburi tu?
Tafadhali sana wahi hapa ofisini kwangu "THE PARADISE BUCHA" ili tuyajenge nami nifurahie kuumbwa kwa duniani kwa raha utazonipa sababu ya ofa za nyama[emoji87][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mimi wewe sikutaki nataka mwanao hata mmoja boda boda yangu mpya kabisa[emoji23][emoji23]umharibu?ingawa sio wote wenye akilo hizo..sikupi aisee naendaga nao asbh jion nawapitia au wanapanda daladala..sitak kbs aisee
😂😂😂Daaah mimi wewe sikutaki nataka mwanao hata mmoja boda boda yangu mpya kabisa
Usinifanyie hivyo kuninyima
UMEUA MDAU HAHAHAHSisi bodaboda huwa huwa tunapewa penzi na wake za watu kutokana na sababu zifuatazo:
1.Huwa tunapewa penzi kama mbadala wa nauli
2.Wake za watu ambao huwa wana bifu na waume zao huwa wanatupa penzi la bure kama kulipiza kisasi kwa wanaume zao![emoji1][emoji1][emoji1]
3.Wake za watu wengi waume zao huwa wako busy na kazi kwa hiyo huwa hawatoshelezi wake zao na wake zao huwa wanaishia kutushobokea
4.Sababu nyingine ni urafiki na ukaribu mkubwa uliopo kati yetu sisi na wake za watu kutokana na kuwababe kila siku
5.Sisi bodaboda tupo sexy na tuna miili mizuri kuliko hao waume zao![emoji1][emoji1][emoji1]
Siwezi kutumia totoz moja mkuu,,zimekuwa siku za nyuma kidogo nilihisi anachukuliwa na house boy wangu ,,hivi ninavyokwambia sidhani kama huyo dogo hupo hapa tanzania,kama yupo basi hawezi kunisahau hadi anaingia kaburini..He known me who the f**k i am mbele ya tamu yangu[emoji23][emoji23][emoji23] pole...alikufanyaje mkuu...ila si utafte totoz 1 bas..huon unajichosha
Hahaha!!!...Mgodi lazma huwa unaingiliwa na manyani..Huwa nashangaa jirani yangu next side ya house ( siko close nae ,ni salamu tu.) mumewe huwa mtu WA kusafiri Sana. Cha ajabu Yule Dereva WA bodaboda huwa anawahi Sana kabla Yule dada hajajiandaa kuvaa etc asubuhi ,so inambidi bodaboda aingei ndani kumwait Mara kibao Sana.. So I don't know Kama kuna kamchezo huwa kanaendelea na huwa wanakaa muda ndio wanatoka.. Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ujue tayari jamaa yanguHuwa nashangaa jirani yangu next side ya house ( siko close nae ,ni salamu tu.) mumewe huwa mtu WA kusafiri Sana. Cha ajabu Yule Dereva WA bodaboda huwa anawahi Sana kabla Yule dada hajajiandaa kuvaa etc asubuhi ,so inambidi bodaboda aingei ndani kumwait Mara kibao Sana.. So I don't know Kama kuna kamchezo huwa kanaendelea na huwa wanakaa muda ndio wanatoka.. Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....! Duuuh...! Ulimfanyeje mkuu?Siwezi kutumia totoz moja mkuu,,zimekuwa siku za nyuma kidogo nilihisi anachukuliwa na house boy wangu ,,hivi ninavyokwambia sidhani kama huyo dogo hupo hapa tanzania,kama yupo basi hawezi kunisahau hadi anaingia kaburini..He known me who the f**k i am mbele ya tamu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kutumia totoz moja mkuu,,zimekuwa siku za nyuma kidogo nilihisi anachukuliwa na house boy wangu ,,hivi ninavyokwambia sidhani kama huyo dogo hupo hapa tanzania,kama yupo basi hawezi kunisahau hadi anaingia kaburini..He known me who the f**k i am mbele ya tamu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumewasahau na mahouseboy aisee hao nao ni wabaya kweli kweli...yaan ila dah... naogopa ht kujua ulimfanyaje..khaa mamaa alishindwa jikaza[emoji40]..ukute alikua ana misuli kukuzidi[emoji40]..anamwona kila siku anavyosweat na kazi za hom ila mumewe anarudi ht hajasweat[emoji23][emoji23]...jamaa kifua kimetanukaa..[emoji111][emoji111]...kitandani sasa ukute jmaa ni [emoji114][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91].ananyanyua mashudu ya ng'ombe kama debe 1 ..tu..lol..shetan msumbufu sana..pole sana mkuu...naamini mkeo bado anamkumbuka[emoji273][emoji273][emoji273]..akili za dompo hizi mkuu nataniaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....! Duuuh...! Ulimfanyeje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....! Utamponza Hg wewe mane. Jamaa anaweza akafikiria labda adhabu aliyompa ilikuwa cha mtoto,anaweza akamsaka tena. Ila ma-Hg wengi ilikuwa zamani. Siku hizi bodaboda ndio kisingizio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumewasahau na mahouseboy aisee hao nao ni wabaya kweli kweli...yaan ila dah... naogopa ht kujua ulimfanyaje..khaa mamaa alishindwa jikaza[emoji40]..ukute alikua ana misuli kukuzidi[emoji40]..anamwona kila siku anavyosweat na kazi za hom ila mumewe anarudi ht hajasweat[emoji23][emoji23]...jamaa kifua kimetanukaa..[emoji111][emoji111]...kitandani sasa ukute jmaa ni [emoji114][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91].ananyanyua mashudu ya ng'ombe kama debe 1 ..tu..lol..shetan msumbufu sana..pole sana mkuu...naamini mkeo bado anamkumbuka[emoji273][emoji273][emoji273]..akili za dompo hizi mkuu nataniaaa
Na sex ya kwenye gari hua inanoga jaman🔥🔥🔥 natania tu mkuu...pole sanaMkuu,shoo nasimamia sana tu najitahidi,ila nikikwambia hawa viumbe ni dhaifu sana mkuu,yani nayeye siyo mama wa nyumbani kabisa,mimi ni mjasilia mali kwahiyo huwa nafanya nae kazi zangu all the time ofisini,mwenzio alikuwa akiona inaelekea jioni kama nimetoka kidogo anapiga simu kwa houseboy amwijie,hawafiki nyumbani moja kwa moja wanapakipaki njiani sijui kulana mate,nazisikia tu habar 'tumeona gari lako limepaki mitaa hii tatzo nini?imagine wife ni 28 na do ni 23''nikafatilia kumbe sijui ndo mazoea yamekolea,sijui dogo amekula mzgo muda,,,I did'nt Waste my time kuulizia sana kwa wife au huyo dogo asie na bahati,,nilimfanyia mbaya mpaka huwa natetemeka mwenyewe..vijana niwasihi tu kwamba wake za watu muwe nao makini japo kweli ni watamu..
Sent using Jamii Forums mobile app