Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,611
- 8,096
Toka kuanza kwa usafiri wa hizi pikipiki imekuwa na wimbi kubwa sana la wake za watu kutoka kimapenzi na hao bodaboda.
Nauliza hivi ni hao wake wanaowataka hao bodaboda au imekaaje hiyo?
Muda mwingine najiuuliza labda ndoa nyingi hazijitoshelezi,hasa wanaume kutowatosheleza kisawa sawa wake zao kwenye swala zima la mgegedo? Au ni tabia tu wanawake kubadirisha viwanja?
Maana muda mwingine mwanamke anayechukuliwa na huyo bodaboda utakuta kwake mambo safi sana kiuchumi.
Na hawa vijana wa boda boda wengi nasikia wameingia kwenye kutumia viagra kubust nguvu zaidi ili amfikishe vi3,vi4 huyo mke wa mtu.
Wasiwasi sasa itatokea kubwa watoto watoto wengi waliopo kwenye familia ni wa bodaboda.

..anakuambia nakupa nyama nzuri km ww..km hujielewi kwisha habari yako