Bodaboda mpooo?

Bodaboda mpooo?

Kwani boda boda inauza na kofia moja ama kofia mbili, so kama ni kofia moja dreva huyo anajali sana but kama ni kofia mbili dreva huyo ana hatari sana
 
Ni bora hilo kopo kuiliko haya mahelmet ya kichina ambayo ukidondosha tu linasambaratika lote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom