Bodaboda kukata leseni ya biashara.

Bodaboda kukata leseni ya biashara.

Kuna Mdau mmoja hapo Juu ameeleza Vizuri

Na Declare Interest:kwamba mie namiliki Bodaboda:-
Unajua tatizo ni kwamba watu wengi tukiachiwa tufanye kitu basi tunaona kwamba ni haki yeti na kutaka kuficha ukweli.
Mtakumbuka wakati Carry(Virukuu)vinaanza,vilichiwa tu vipige kazi bla hata kuwa na vibali kama gari za mizigo.
Baada ya muda Serikali na watu wa gari kubwa kama Canters wakasema jamani hawa watu mbona hawalipi Kodi na wao wanabeba mizigo kama zie?Serikali ikasema kwamba wanatakiwa kulipa,ndio wakakaza na kuanza kulpa na mie ninazo nikaanza kulipa.Mwanzo ilikuwa mbinde sana,maana hii tender walipewa Majembe Auction,na hata mie gari zilikamatwa,nikaenda kulipa na ikatolewa mpaka leo watu wanalipa na maisha yanaendelea.

Sasa Suala la bodaboda,ni lazima tulipe,tatizo tunafanya kama mazoea tu.Bodaboda,Bajaji,Taxi,hawa ni pacha wanaofanana,tofauti ni Matairi na roof tu.

Sasa mdau usilalamike,ile ni biashara na lazima ulipie na sheria zipo wazi sana.Msipende kuingiza Siasa kwenye Uhalisia,na ndio maana wanasiasa wengine wanatununua kwa udhaifu wetu wa uelewa.
 
Tax holiday iliisha Nov 5, 2015 saa nne kamili Asubuhi Uwanja wa Taifa.
Hatutakubali Mum Drive Rais wetu, hutaki kulipia kodi hiyo boda boda yako kachezee na Watoto wako chumbani kwako
 
Wanadhani ni ule muda wa mwakajana mwishoni kupanga foleni vituo vya mafuta kisha bendera za kijani unaendelea...
Sasa hivi wanaume wamekamata usukani..
Kila mtu lazima aufyate... Mmmae ajira hadi mwakani...
Namba juu ya mlima kuna mtu hataisoma kweli hasa vijana..?
 
Eeee namba iko pale Kibo, haihitaji darubini.... Siyo vijana wala wastafu (uhakiki wa wazee wastafu unafanyika (si unajua fedha za mifuko ya hifadhi za jamii zinatakiwa kujenga viwanda) - ili kusimamisha malipo hayo lazima tuseme tunahakiki wastafu huku watumishi wengine wakizuiliwa annual increments na kupanda madaraja. Ajira mpya zisubiri uhakiki wa kidijitali.
 
Kuna Mdau mmoja hapo Juu ameeleza Vizuri

Na Declare Interest:kwamba mie namiliki Bodaboda:-
Unajua tatizo ni kwamba watu wengi tukiachiwa tufanye kitu basi tunaona kwamba ni haki yeti na kutaka kuficha ukweli.
Mtakumbuka wakati Carry(Virukuu)vinaanza,vilichiwa tu vipige kazi bla hata kuwa na vibali kama gari za mizigo.
Baada ya muda Serikali na watu wa gari kubwa kama Canters wakasema jamani hawa watu mbona hawalipi Kodi na wao wanabeba mizigo kama zie?Serikali ikasema kwamba wanatakiwa kulipa,ndio wakakaza na kuanza kulpa na mie ninazo nikaanza kulipa.Mwanzo ilikuwa mbinde sana,maana hii tender walipewa Majembe Auction,na hata mie gari zilikamatwa,nikaenda kulipa na ikatolewa mpaka leo watu wanalipa na maisha yanaendelea.

Sasa Suala la bodaboda,ni lazima tulipe,tatizo tunafanya kama mazoea tu.Bodaboda,Bajaji,Taxi,hawa ni pacha wanaofanana,tofauti ni Matairi na roof tu.

Sasa mdau usilalamike,ile ni biashara na lazima ulipie na sheria zipo wazi sana.Msipende kuingiza Siasa kwenye Uhalisia,na ndio maana wanasiasa wengine wanatununua kwa udhaifu wetu wa uelewa.
Kuna changamoto nyingine hapo, bodaboda na bajaji hawalipi hiyo kodi lakini kuna maeneo wanafanya biashara kama daladala jambo linalopelekea mgogoro na wamiliki wa hiace pale wanapokutana kwenye route moja. Wenyeji wa Mbeya na Makambako watatusaidia mifano.
 
Eeee namba iko pale Kibo, haihitaji darubini.... Siyo vijana wala wastafu (uhakiki wa wazee wastafu unafanyika (si unajua fedha za mifuko ya hifadhi za jamii zinatakiwa kujenga viwanda) - ili kusimamisha malipo hayo lazima tuseme tunahakiki wastafu huku watumishi wengine wakizuiliwa annual increments na kupanda madaraja. Ajira mpya zisubiri uhakiki wa kidijitali.
Huko kwa wastaafu watahakiku hadi 2020.
Hapa tumelamba galasa wazi wazi
 
Back
Top Bottom