Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Hahaaaaaa kweli Afande umenenaMi naona ng'ombe ndio hashindwi kitu, kakodi Pikipiki
Mi naona ng'ombe ndio hashindwi kitu, kakodi Pikipiki
Dereva sijui atamfikishaje kariakooYani sijui wamemuwekaje hapo, sipati picha shughuli yake!
Dereva sijui atamfikishaje kariakoo
Kweli. Tuwaombee wafike salama, na abiria asibadilishe mtindo wa kukaaAhhhhaahaa, hope wafike salama maana abiria akichoka kukaa hivyo itakuwa shughuli nyingine.
Mkuu, yote yawezekana kwa imaniHaiwezekekani ng'ombe umkunje hivyo atulie tu
Duuuuh kazi ipoKuna jamaa alikuwa anapakiza madumu kumi ya maji.