Bodaboda awaheshimu sheria yoyote

Bodaboda awaheshimu sheria yoyote

Mimi mwenyewe Leo hii nimetoka Muhimbili kumuona rafiki yangu alipata ajali..... Aisee boda ni tatizo sana hasa Kwa vijana.
 
Hawa ni watu wa kupiga marufuku kabisa! Watu gani wanaendesha pikipiki kama vichaa? Hawaheshimu sheria yoyote. Wanagongwa wanakufa wanajeruhiwa kila siku hawasikii. Mbaya zaidi wanaua na kujeruhi watu kila siku kizembe tu.
Magari yanasimama kwenye zebra yeye anapitq tu bila kujali wapita njia! Ni muda sasa kuzuia hawa vichaa. Barabara zimegeuka uwanja wa vita mbele bodaboda, nyuma bodaboda, kulia bodaboda,kushoto bodaboda yaani ni kero tu

View: https://www.instagram.com/reel/DfuBUFlKjla/?mdxt=MWowZWtldzBscG5kcQ==

my friends, ladies and gentleman,
hakuna anae panga wala kuatarija ajali itokee, kama ambavyo hakuna anaejua atakufa lini, saa ngapi na kwa style gani.

Jambo la maana zaidi ni kila moja wetu,
kuchukua tahadhari na kua makini zaidi katika matumizi ya barabara whether unaitumia kwa kutembea kwa miguu, bodabida, bajaji au gari. Lolote linaweza kukupata au kutokea at a given time, kwasababu humo barabarani kila moja anawaza na kufikiri tofauti na mwingine humo na viwango vya umakini vinatofautiana.

hakuna haja ya kulaumiana hata kidogo,
ni muhimu sote kuchukua tahadhari na kua makini tu barabarani, hasa tunapoelekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya 2027. Ajali ni ajali tu, na inaweza kumpata yoyote wakati wawote miongoni mwetu.

Pole sana wale wote waliohusika na ajali hiyo mbaya ya barabarani ikiwa ni pamoja na huyo mwanafunzi :NoGodNo:
 
Imagine! Ina maana huyo IQ yake haifiki hata 40.
Mtu anapita kushoto harafu kwa kasi sana akishakupita anageuka kukuangalia huku gari yako ina ngao ya kuua Tembo yeye anacheza cheza mbele inabidi upunguze mwendo tu.
 
Hawa ni watu wa kupiga marufuku kabisa! Watu gani wanaendesha pikipiki kama vichaa? Hawaheshimu sheria yoyote. Wanagongwa wanakufa wanajeruhiwa kila siku hawasikii. Mbaya zaidi wanaua na kujeruhi watu kila siku kizembe tu.

Magari yanasimama kwenye zebra yeye anapitq tu bila kujali wapita njia! Ni muda sasa kuzuia hawa vichaa. Barabara zimegeuka uwanja wa vita mbele bodaboda, nyuma bodaboda, kulia bodaboda,kushoto bodaboda yaani ni kero tu


View: https://www.instagram.com/reel/DfuBUFlKjla/?mdxt=MWowZWtldzBscG5kcQ==

Kuna rafiki yangu anasema ukishasikia kitu kinaitwa kwa jina kujirudia mara mbili tu, ujue ni tatizo.

Bodaboda, daladala, takataka 😂😂
 
Bodaboda wanaujitambua hapa barani Africa ni Bodaboda wa Kigali Rwanda tu, na ni kwa sababu hamna rushwa na polisi wanatii sheria.Sasa hapa kwetu na Kampala na Lagos ni mwendo wa rushwa,unakuta polisi watatu wamejipakia mshikaki bila helmet ni kawaida tu.
 
RRONDO nadhani chimbuko la haya yote ni tabia iliyojengeka kwa vijana wengi kutangulia mbele ya mwenzako. Hata kwa waendeshao magari, foleni za mjini zinatokana na kila mtu kutaka kumtangulia mwenzake, kutomruhusu mwingine mpaka aje traffic. Foleni kidogo BARABARA inajaa magari ya upande mmoja. Bodaboda nao vile vile wqnakimbia ili watangulie wenzao na hata magari. Infact wenzetu KE au Bajaj’ı au bodaboda hawawezi kukupisha. Ukiwa unaendesha haya magari yenye Taa za Gharama, usipokuwa mwangalifu, wanakugonga na kukuchomea gari kwa wivu. Tunawaogopa ajabu
 
my friends, ladies and gentleman,
hakuna anae panga wala kuatarija ajali itokee, kama ambavyo hakuna anaejua atakufa lini, saa ngapi na kwa style gani.

Jambo la maana zaidi ni kila moja wetu,
kuchukua tahadhari na kua makini zaidi katika matumizi ya barabara whether unaitumia kwa kutembea kwa miguu, bodabida, bajaji au gari. Lolote linaweza kukupata au kutokea at a given time, kwasababu humo barabarani kila moja anawaza na kufikiri tofauti na mwingine humo na viwango vya umakini vinatofautiana.

hakuna haja ya kulaumiana hata kidogo,
ni muhimu sote kuchukua tahadhari na kua makini tu barabarani, hasa tunapoelekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya 2027. Ajali ni ajali tu, na inaweza kumpata yoyote wakati wawote miongoni mwetu.

Pole sana wale wote waliohusika na ajali hiyo mbaya ya barabarani ikiwa ni pamoja na huyo mwanafunzi :NoGodNo:
Issue ipo hapo kwenye TAHADHARI kila mtu akichukua nafasi yake ipaswavyo, wallah vile zaid ya robo tatu ya ajali zitapungua!
 
RRONDO nadhani chimbuko la haya yote ni tabia iliyojengeka kwa vijana wengi kutangulia mbele ya mwenzako. Hata kwa waendeshao magari, foleni za mjini zinatokana na kila mtu kutaka kumtangulia mwenzake, kutomruhusu mwingine mpaka aje traffic. Foleni kidogo BARABARA inajaa magari ya upande mmoja. Bodaboda nao vile vile wqnakimbia ili watangulie wenzao na hata magari. Infact wenzetu KE au Bajaj’ı au bodaboda hawawezi kukupisha. Ukiwa unaendesha haya magari yenye Taa za Gharama, usipokuwa mwangalifu, wanakugonga na kukuchomea gari kwa wivu. Tunawaogopa ajabu
Kuna tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu. Tatizo la bodaboda madhara kwa dereva na abiria ni makubwa sana.
 
Ilitakiwa tuondoe matumizi ya kubeba abiria kwenye pikipiki na bajaji.
Hizi zimekuwa chanzo Cha ajari kwa vijana.
Ziondoshwe kwa sababu ya kuleta order kwenye jamii na ustaharabu hapa mjini
 
Back
Top Bottom