Boda Congo malori yamewaka moto

Boda Congo malori yamewaka moto

Hali ni mbaya
 
Attachments

  • 1416918075068.jpg
    1416918075068.jpg
    36.2 KB · Views: 682
Ni habari mbaya mbaya tena mbaya sana kwa wafanyabiashara..poleni sana
 
Kama ni hujuma , muhusika/wahusika inabidi watafutwe kwa udi na uvumba....na kushughulikiwa. Kama ni ajali..basi watu wa BIMA wafanye uungwana.
 
Kama ni hujuma , muhusika/wahusika inabidi watafutwe kwa udi na uvumba....na kushughulikiwa. Kama ni ajali..basi watu wa BIMA wafanye uungwana.

Chanzo ni tanker ya South Africa ilokua imebeba Petrol,iligonga tank lake kwenye trailer ya lory jingine,ndipo ukalipuka na moto kusambaa kwenye magari
 
Hili janga linatisha mno
 
Attachments

  • 1416925146377.jpg
    1416925146377.jpg
    89.3 KB · Views: 2,737
  • 1416925165568.jpg
    1416925165568.jpg
    71.9 KB · Views: 655
  • 1416925187408.jpg
    1416925187408.jpg
    75.4 KB · Views: 569
  • 1416925204728.jpg
    1416925204728.jpg
    54.5 KB · Views: 528
  • 1416925221559.jpg
    1416925221559.jpg
    79.8 KB · Views: 516
  • 1416925247329.jpg
    1416925247329.jpg
    93.3 KB · Views: 2,657
  • 1416925266079.jpg
    1416925266079.jpg
    72.4 KB · Views: 541
Mwenye uwezo wa kupiga picha tafadhali

Ndo mambo tunayokataa hayo , yaani nyie siku hizi katika majanga mnawaza kupiga picha tu watu wanavyokufa au kuumia
eti muje muonekane kuwa ndio mlikuwa wa kwanza kupata picha za tukio. P.umbafu .....zenu.
Huo ni ujinga uliopitiliza , amini usiamini mkuu Bulldog.
 
Last edited by a moderator:
Chanzo ni tanker ya South Africa ilokua imebeba Petrol,iligonga tank lake kwenye trailer ya lory jingine,ndipo ukalipuka na moto kusambaa kwenye magari
Aisee inatisha...inabidi turudi kwenye kutumia bomba la mafuta...kusafirikisha kimiminika hiki mafuta.
 
Poleni sana.

Chanzo cha moto sijui ni nini?
 
Chanzo ni tanker ya South Africa ilokua imebeba Petrol,iligonga tank lake kwenye trailer ya lory jingine,ndipo ukalipuka na moto kusambaa kwenye magari

Poleni sana.

Chanzo cha moto sijui ni nini?

Usiwemvivu kusoma coment za wadau.
 
Chanzo ni tanker ya South Africa ilokua imebeba Petrol,iligonga tank lake kwenye trailer ya lory jingine,ndipo ukalipuka na moto kusambaa kwenye magari
Ahsante mdau

Usiwemvivu kusoma coment za wadau.

Sikuona nilipitia ukurasa mmoja wa mbele tu sikujua kama kulikuwa na ukurasa wa pili, pamoja mdau
 
Mungu ana mipango yake. Huenda hizo zilikuwa ni biashara haramu!
 
Ndo mambo tunayokataa hayo , yaani nyie siku hizi katika majanga mnawaza kupiga picha tu watu wanavyokufa au kuumia
eti muje muonekane kuwa ndio mlikuwa wa kwanza kupata picha za tukio. P.umbafu .....zenu.
Huo ni ujinga uliopitiliza , amini usiamini mkuu Bulldog.

Unategemea kufanya nini kama gari lako linaungua?? Utaishia kulia tu
 
attachment.php

attachment.php

Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo.

attachment.php

attachment.php

Picha tofauti juu zikionesha baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ya moto.
Moja ya malori yaliyoteketea kwa moto huo likiwa limeharibika kabisa.
Kikosi cha zima moto kikishughulika katika eneo la tukio.
AJALI mbaya ya moto imetokea jana majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo baada ya lori moja kulipuka kwa moto na kuchoma malori mengine yaliyokuwa jirani yake. Inadaiwa magari mengi yameungua yakiwemo kutoka Tanzania japo idadi kamili ya maafa yaliyotokana na ajali hiyo bado hayajafahamika. chanzo.GBP.

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    21.9 KB · Views: 1,281
  • 2.jpg
    2.jpg
    30.1 KB · Views: 1,280
  • 3.jpg
    3.jpg
    33.6 KB · Views: 1,267
  • 4.jpg
    4.jpg
    70.9 KB · Views: 1,274
Hii ni moja ya picha niliyotumiwa muda huu na dereva wa hilo gari linaloonekana hapo,ni la Tz na dereva ni mTz pia

Hi. Samahani waweza kunipm namba yake kwani nina mshkaji kaka yake a naendesha lori na yupo Congo kwasasa. Mbaya zaidi namba yake anayoitumia haipatikani hadi Leo. Tafadhali ndugu
 
poleni sana majeruhi,poleni sana wafiwa RIP Waliotangulia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom