Boda boda ya kwangu hiyo..................

najaribu kufikiria tu mwanaume kakaa nyuma ya hilo skeleton, kwa namna lilivyobong'oa sijui ataonekana kama analifanya nini!!!
 
Wewe mwenye hilo bodaboda lazima utakuwa "filimasoni" tu..
 
Hii ni noma kama inauzwa yakwangu yaa hii kiboko ya watoto wanaocheza barabarani wakiiona mbio
 
najaribu kufikiria tu mwanaume kakaa nyuma ya hilo skeleton, kwa namna lilivyobong'oa sijui ataonekana kama analifanya nini!!!
Hahahahaahh nimecheka ile mbay leo

watu8 ataonekana kuna kitu analifanyia ana anaenjoy Nyuma ya hilo liskeleton
hilo ni Skelatoni hakuan kitu hapo

Wewe mwenye hilo bodaboda lazima utakuwa "filimasoni" tu..
Kila kitu Filimasoni hahahahh

Kweli mkuu hilo libodaboda mbona linatisha
Shetani hilo Mkuu

Hii ni noma kama inauzwa yakwangu yaa hii kiboko ya watoto wanaocheza barabarani wakiiona mbio
Ni Kweli watakuwa wanaliogopa lakini halitembee barabarani linatembea kwenye hizo bustani maalumu si umeliona hapo lilipo mkuu?

Ukipata ajali likavunjika vunjika watu watakusanya mabaki kwa kudhani mlikuwa wawili na wote mtapelekwa Hospitalo.
Hahahha umenichekesha na kucheka peke yake ni dawa hahhahhaah

Mhhhh ukikutana nayo kwenye giza unaweza kupiga mayowee
Ni kweli ukikutana nalo kwenye giza utatoka mbio ile mbaya

usafiri nimeukubali....
Unaweza kuupanda huu usafiri ukipewa mkuu?

Kwa barabara zetu litapasua "sampo"
haliwezi kutembea barabara za kibongo ni mbaya zina mashimo ile mbaya

Anampumulia kisogoni mkuu!
Hahhahah umejuaje kuwa anampumulia kisogoni?
 
Aisee without a doubt!!I would ride that thing like i was born with it....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…