Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Dunia imekuwa kijiji.... Na mateknolojia yote haya, bado unauliza swali hili..!!!??? Kwani we ya ulaya huyajui..??Mkuu we si uko ulaya issue za bongo unazijuaje
Mimi nipo Ulaya lakini kila kitu kinachofanyika bongo ninakijuwa kwa haraka zaidi kuliko hata wewe uliyeko hapo bongo .Mkuu we si uko ulaya issue za bongo unazijuaje
Mkuu umezungumzamaneno ya Point hajuwi kuwa huyu mkuu@PUNKY Dunia imekuwa ndogo kwa ajili ya mawasiliano ya internet?Dunia imekuwa kijiji.... Na mateknolojia yote haya, bado unauliza swali hili..!!!??? Kwani we ya ulaya huyajui..??
Mimi nipo Ulaya lakini kila kitu kinachofanyika bongo ninakijuwa kwa haraka zaidi kuliko hata wewe uliyeko hapo bongo .
Mkuu umezungumzamaneno ya Point hajuwi kuwa huyu mkuu@PUNKY Dunia imekuwa ndogo kwa ajili ya mawasiliano ya internet?