Basi viongozi wetu wabadilike ili wakoloni wasirudi
Mjerumani angekuwepo tungekuwa pazuri lakini Oyster Bay, Masaki na Msasani wamatumbi tungeenda kufanya kazi tu kwenye nyumba za mabwana. Ingawa huku Kariakoo, Magomeni, Kinondoni, Mwananyamala tungekuwa na barabara, umeme, maji, hospitali zenye dawa, shule zenye walimu na nyumba za hadhi yetu tungepangisha kutoka serikaliniViongozi weusi Waendelee tu na ukatili wao,kwani ‘wakoloni wakirudi itakua tu hauweni’...hii itakua ‘tumepata sababu’
*nilikua najiuliza kama MJERUMANI angebaki tanganyika,HAKIKA tungekua pazuri sana leo hii,kuliko hawa ‘waliojibatiza wazalendo’ kumbe ni waasi tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unataka kutufananishia south na tz??South Africa kuna nafuu gani?
Maana kule wapo.
Mjerumani angekuwepo tungekuwa pazuri lakini Oyster Bay, Masaki na Msasani wamatumbi tungeenda kufanya kazi tu kwenye nyumba za mabwana. Ingawa huku Kariakoo, Magomeni, Kinondoni, Mwananyamala tungekuwa na barabara, umeme, maji, hospitali zenye dawa, shule zenye walimu na nyumba za hadhi yetu tungepangisha kutoka serikalini
FactNchi za kiAfrica karibia zote tuna matatizo sana na chuki ndogo ndogo za wenyewe kwa wenyewe...
Ndiyo maana mataifa makubwa yanatu divide na kututawala kizembe zembe sana...
Walio madarakani hawatendi haki, huku wakijifanya kuhubiri demekrasia...
Cc: mahondaw
Unafikiri matabaka yameisha SA?
Wananchi walichukia Kodi ya kichwa Tu Kwa mkoloni lakini mengine yooote hawakuwa na shida navyo. Hakukuwa na watu wasiojulikana, kila kitu ni wazi hata kunyongwaNi bora hivo kwa kweli..kuliko haya maigizo ya ‘Siri za familia’ yanayofanywa na wazalendo weusi...ninauhakika watu wangekua na standard ya kuitwa BINADAMU na utu ungekua kwenye nafasi inayostahili....kwani ‘nafsi ikihudumiwa bila malalamiko,na Roho nayo inatulia’......WAJERUMANI warudi tu,sijui watakuja lini BUT I know sio mbali sana watarudi kivingine [emoji38]
Sent from my iPhone using JamiiForums