Bob Wine ana mke mzuri sana

Ukiona msanii ana library ya vitabu basi ujue huyo upstairs yuko vzr
Syo wasani wengine sjui wanaimba inama nkuchomeke,tingisha nkupake mafuta [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
brother ulikua unatafuta nini huko kwenye makabati ya watu? hufai kuwa mgeni wewe maana unaangalia kila engo ya nyumba.
 
Ukiona msanii ana library ya vitabu basi ujue huyo upstairs yuko vzr
Syo wasani wengine sjui wanaimba inama nkuchomeke,tingisha nkupake mafuta [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mara apake mate achomeke runguuu... mala msambwanda wa buku jero πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa sasa katengeneza jina, dunia yamjuwa, ajiendeleze kidogo tu kwenye political science na uchumi, mbona anachukuwa nchi kiulaini...
 
Siku zote wala kush....wanapisi Kali kinoma
 
Hata Bob mwenyewe ni Handsome, wameoana wenye uzuri wao.
Watoto wao watakua zaidi ya uzuri.
 
hahahahahaha daa
Ukiona msanii ana library ya vitabu basi ujue huyo upstairs yuko vzr
Syo wasani wengine sjui wanaimba inama nkuchomeke,tingisha nkupake mafuta [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…