Ukiondoa miujiza, na tofauti za rangi na za kifamilia, labda na kuzaa watoto, ipi nyingine ni tofauti baina yao?Yesu wa wavuta bangi, akili zako robo wewe.... Bob alikuwa mtu mwema sawa lakini matendo yake unavyoyasoma na unavyomsoma yesu katika biblia unawezayalinganisha. Au unasikiliza viclip na nyimbo zake ndo unaona ushamaliza kila kitu. Acha bangi za kishamba wewe..
Mimi ninaishi na marasi kibao, bangi sana lakini hawana mawazo ya kipuuzi kama yako.
Kwani hata Yesu mwenyewe enzi za uhai wake alikuwa akiitwa YESU? Nae alikuwa aliishi simpo tu ktk usimpo wote, ndo maana watu hawakuwa wakimhofu kivile.Nakubaliana na wewe kuwa wewe siyo mnafiki sema tatizo lako ni kupotokwa kwa kujaribu kurise vitu ambavyo huna research ya kujiridhisha zaidi ya makadilio mafupi yanaoendana na uwezo wako wa kufikiri na kuamini. Mimi nawezakuwa ni mnafiki kwako kwa fikra zako maana wapo wanafiki pia wa dini ambao hutetea kitu wasichoishi kwacho.
Lakini nakuhakikishia kuwa unajaribu kufananisha vitu ambavyo hukustahili hata kufikiria hivyo.
Nakupa mfano mmoja..
Makanisani watu wanatoa mapepo kwa kutamka jina la yesu wa mbinguni je wewe can u cast out the demons kwa kutumia bob marley? Kwa nini unamfananisha na yesu? Ndo maana nakwambia una akili za kibangi.
Hapana, hakusema hivyo, bali amesema Yesu ni "NENO", NA ni Neno la kiroho, yule wa Israel ni umbo tu lilimbeba, hivyo angeweza kubebwa pia na umbo lingine ktk kufikisha ujumbe au Kweli za Mungu. Mi nadhani pia Budha alikuwa ni Yesu wa kihindi, wanafanana na wakiisrael sana toka kuzaliwa kwao na mahubiri yao.
Wala si lazima kwa jina la Yesu, ni kanuni tu zinazotumika hata bila kutaja jina lolote, mababu vijijini huyatoa kwa majina ya mababu zao wa kale. Waislamu nao huyatoa kwa jina la Yesu? Kuna kweli iejificha, tuitafute.Nakubaliana na wewe kuwa wewe siyo mnafiki sema tatizo lako ni kupotokwa kwa kujaribu kurise vitu ambavyo huna research ya kujiridhisha zaidi ya makadilio mafupi yanaoendana na uwezo wako wa kufikiri na kuamini. Mimi nawezakuwa ni mnafiki kwako kwa fikra zako maana wapo wanafiki pia wa dini ambao hutetea kitu wasichoishi kwacho.
Lakini nakuhakikishia kuwa unajaribu kufananisha vitu ambavyo hukustahili hata kufikiria hivyo.
Nakupa mfano mmoja..
Makanisani watu wanatoa mapepo kwa kutamka jina la yesu wa mbinguni je wewe can u cast out the demons kwa kutumia bob marley? Kwa nini unamfananisha na yesu? Ndo maana nakwambia una akili za kibangi.
Hivi huyu Bob hata kama ndio half cast sijui inamaa alikuwa muafrika? Kwa nini useme ni mtume wa Afrika?
Nipo nachomaaa mojaa special kwa bob marley
Ndio kitu gani hicho?Vitu vikiwa viwili, au watu wakiwa wawili lazima wana utofauti mkuu. Yesu ni neno na Bob nae ni neno la kimataifa kupitia music. Sina ushaidi kama kulikuwa na Yesu ila nina ushaidi Bob Marley alikuwepo Duniani kupitia sauti katika mimbo yake.
Hahah mkuu mbona mzigo uko mtaani kama kawabangi zinauzwa kwa kujuana siku hizi ndio maana wengine hatupati hivyo hatutaelewa hii mada
Word.Yesu wa wavuta bangi, akili zako robo wewe.... Bob alikuwa mtu mwema sawa lakini matendo yake unavyoyasoma na unavyomsoma yesu katika biblia unawezayalinganisha. Au unasikiliza viclip na nyimbo zake ndo unaona ushamaliza kila kitu. Acha bangi za kishamba wewe..
Mimi ninaishi na marasi kibao, bangi sana lakini hawana mawazo ya kipuuzi kama yako.
mkuu nimeichek hii clip japokuwa ya sekunde chache naona huyu alikuwa kichwa kwa kweliMsikilize hapa chini kwenye hii clip,siku alipoyasema hayo maneno...
Tupia hapa maono ya bob malya tuyaone.Nilikuwa nakusubiri, hapa roho yangu nyeupe.
Kwani mkuu pamoja na bob kuwa mtumiaji mzuri wa mmea, unafikiri nini kuhusu maono katika music na maisha yake?
Oooh pole!bangi zinauzwa kwa kujuana siku hizi ndio maana wengine hatupati hivyo hatutaelewa hii mada
Ukiweza kuyatoa kwa jina la Bob Nesta Marley utakuwa umenithibitishia kuwa Yesu anawezakuwa Marley. Huo nimetolea mfano halisi kwa maisha ya sasa maana mtoa post anadai haamini ktk story anazosikia kuhusu yesu.Wala si lazima kwa jina la Yesu, ni kanuni tu zinazotumika hata bila kutaja jina lolote, mababu vijijini huyatoa kwa majina ya mababu zao wa kale. Waislamu nao huyatoa kwa jina la Yesu? Kuna kweli iejificha, tuitafute.
Yaani ni jani/herb tu inayokufanya useme haya...dah kaka umelanduka vibayaYes Bob Marley ni mtume Mwafrika mwenye unabii na utume wa kweli kupitia mimbo yake inayoishi daima hisiyo chakachuliwa.
Kwa mujibu wa biblia Yesu ni neno, hapo mwanzo neno liliishi kwa baba Mungu, kwa mantiki hiyo Bob ni neno tamu lenye maana, lenye kuishi na lisilo chakachuliwa daima.
Tafadhali kama ntawakwaza ila naomba nitangaze leo Bob marley ni Yesu wangu, bob ni mchungaji wangu na bob ni mtume pure wa mwenyezi Mungu.
Naandika yote haya kwa sababu Bob ni Half caste, hivyo ni mtume mwenye matabaka ya watu wote Duniani, weusi kwa weupe, na pili Hayati Bob Marley mwaka huu anatimiza miaka 36 toka atutoke Duniani, na papo hapo aliishi Duniani kwa miaka 36.
Tafadhali tusikilize mimbo yake kwa umakini huyu Jesus wetu, mwenye hekima za kipekee Afrika na Dunia yote.
Na kwa wajasiliamali mnaweza kufanya jambo la aina ya kipekee kufanya michakato kupitia brand ya bob Marley sio siri mtatengeza pesa za kutosha maana Afrika hatuna cha kujivunia zaidi Mtume Bob Marley.
Weekend inaanza Peace & Love kwa watu wote, na sio mbaya ukichoma moja special kwa Bob Marley.
kwani viroba vinapatikana jamani?Yes Bob Marley ni mtume Mwafrika mwenye unabii na utume wa kweli kupitia mimbo yake inayoishi daima hisiyo chakachuliwa.