Allen Mapunda
Member
- Mar 20, 2017
- 23
- 23
Msikilize hapa chini kwenye hii clip,siku alipoyasema hayo maneno...Kabisa naamini hivyo yeye aliamini Mafanikio sio utajiri wa mali bali ni jinsi utakavyoishi na watu kwa kutenda mema na kuwahamasisha wapendane
Mna mkufuru mungu
Kabisa naamini hivyo yeye aliamini Mafanikio sio utajiri wa mali bali ni jinsi utakavyoishi na watu kwa kutenda mema na kuwahamasisha wapendane
Yesu wa wavuta bangi, akili zako robo wewe.... Bob alikuwa mtu mwema sawa lakini matendo yake unavyoyasoma na unavyomsoma yesu katika biblia unawezayalinganisha. Au unasikiliza viclip na nyimbo zake ndo unaona ushamaliza kila kitu. Acha bangi za kishamba wewe..
Mimi ninaishi na marasi kibao, bangi sana lakini hawana mawazo ya kipuuzi kama yako.
Msikilize hapa chini kwenye hii clip,siku alipoyasema hayo maneno...
Kuna kitu umekula kikikata utakaa sawa!Naamini kihisia na kiimani mfuu, maana toka alipo teswa mpaka leo yamebaki makapi katika neno lake.
Lakini neno la bob lipo na sauti yake ipo na hata picha na watu walio kuwa nao wapo na isitoshe bob ni mfalme wa Afrika.
Natural mystic
True sound
Nakubaliana na wewe kuwa wewe siyo mnafiki sema tatizo lako ni kupotokwa kwa kujaribu kurise vitu ambavyo huna research ya kujiridhisha zaidi ya makadilio mafupi yanaoendana na uwezo wako wa kufikiri na kuamini. Mimi nawezakuwa ni mnafiki kwako kwa fikra zako maana wapo wanafiki pia wa dini ambao hutetea kitu wasichoishi kwacho.Asante mkuu, lakini kila mtu amebalikiwa uwezo wake wa kufikiri ila watu wanafiki wana uwezo wao, na uwezo wao ni huo kama wako wa kukariri maisha na story zisizo sadikika.
Bob alikuwa mkristoTrust me kwenye Bible ni kitu kimoja tu cha kuamini, nacho ni Amri kumi za Mungu. Na Amri zote zimebebwa na UPENDO. Mtume wangu au Yesu wangu Bob marley alisisitiza Upendo
Kwenye Bible vingine vyote vina mashaka na ukizingatia wasaliti wa pesa walikupo kama kina Yuda, je wasaliti wa kubadilisha maneno au ujumbe?
Kuwa huru kifikra changanua mambo hata wewe unaweza kuwa Nabii au Mtume, kwanini uzidiwe kete kifikra mkuu?
My choice Church ni neno na mimbo ya Jesus Bob Marley.
Nakubaliana na wewe kuwa wewe siyo mnafiki sema tatizo lako ni kupotokwa kwa kujaribu kurise vitu ambavyo huna research ya kujiridhisha zaidi ya makadilio mafupi yanaoendana na uwezo wako wa kufikiri na kuamini. Mimi nawezakuwa ni mnafiki kwako kwa fikra zako maana wapo wanafiki pia wa dini ambao hutetea kitu wasichoishi kwao.
Lakini nakuhakikishia kuwa unajaribu kufananisha vitu ambavyo hukustahili hata kufikiria hivyo.
Nakupa mfano mmoja..
Makanisani watu wanatoa mapepo kwa kutamka jina la yesu wa mbinguni je wewe can u cast out the demons kwa kutumia bob marley? Kwa nini unamfananisha na yesu? Ndo maana nakwambia una akili za kibangi.
Hata wimbo wake wa Africa unite ulibeba ujumbe muhimu sana....usikilize hapa chini..Ambush in the night hii ngoma n noma
Hapana, hakusema hivyo, bali amesema Yesu ni "NENO", NA ni Neno la kiroho, yule wa Israel ni umbo tu lilimbeba, hivyo angeweza kubebwa pia na umbo lingine ktk kufikisha ujumbe au Kweli za Mungu. Mi nadhani pia Budha alikuwa ni Yesu wa kihindi, wanafanana na wakiisrael sana toka kuzaliwa kwao na mahubiri yao.Kwa hiyo unataka kusema huamini uwepo yesu?
Ila unatambua kuwa maneno ya manabii yana chakachuliwa, ila neno la Bob halita chakachuliwa daima mkuu?