kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
Sawa, whatagwan Rastafarian Haile Sellasie Iron Lion Zion Bob marley
Usimfananishe Bob Marley na Yesu kwani hata huyo Haile Selassie (RASTA) ambaye Bob Marley anamfuata. alikataa kulinganishwa na Yesu. # Follow the teachings of his majesty.Yes Bob Marley ni mtume Mwafrika mwenye unabii na utume wa kweli kupitia mimbo yake inayoishi daima hisiyo chakachuliwa.
Kwa mujibu wa biblia Yesu ni neno, hapo mwanzo neno liliishi kwa baba Mungu, kwa mantiki hiyo Bob ni neno tamu lenye maana, lenye kuishi na lisilo chakachuliwa daima.
Tafadhali kama ntawakwaza ila naomba nitangaze leo Bob marley ni Yesu wangu, bob ni mchungaji wangu na bob ni mtume pure wa mwenyezi Mungu.
Naandika yote haya kwa sababu Bob ni Half caste, hivyo ni mtume mwenye matabaka ya watu wote Duniani, weusi kwa weupe, na pili Hayati Bob Marley mwaka huu anatimiza miaka 36 toka atutoke Duniani, na papo hapo aliishi Duniani kwa miaka 36.
Tafadhali tusikilize mimbo yake kwa umakini huyu Jesus wetu, mwenye hekima za kipekee Afrika na Dunia yote.
Na kwa wajasiliamali mnaweza kufanya jambo la aina ya kipekee kufanya michakato kupitia brand ya bob Marley sio siri mtatengeza pesa za kutosha maana Afrika hatuna cha kujivunia zaidi Mtume Bob Marley.
Weekend inaanza Peace & Love kwa watu wote, na sio mbaya ukichoma moja special kwa Bob Marley.
Usimfananishe Bob Marley na Yesu kwani hata huyo Haile Selassie (RASTA) ambaye Bob Marley anamfuata. alikataa kulinganishwa na Yesu. # Follow the teachings of his majesty.
Hawakumpadia majani makali karibu na kaburi ?
Ni jana tu Bob marley ametimiza miaka 36 toka kufariki kwake,alifariki 11.May.1981Yes Bob Marley ni mtume Mwafrika mwenye unabii na utume wa kweli kupitia mimbo yake inayoishi daima hisiyo chakachuliwa.
Kwa mujibu wa biblia Yesu ni neno, hapo mwanzo neno liliishi kwa baba Mungu, kwa mantiki hiyo Bob ni neno tamu lenye maana, lenye kuishi na lisilo chakachuliwa daima.
Tafadhali kama ntawakwaza ila naomba nitangaze leo Bob marley ni Yesu wangu, bob ni mchungaji wangu na bob ni mtume pure wa mwenyezi Mungu.
Naandika yote haya kwa sababu Bob ni Half caste, hivyo ni mtume mwenye matabaka ya watu wote Duniani, weusi kwa weupe, na pili Hayati Bob Marley mwaka huu anatimiza miaka 36 toka atutoke Duniani, na papo hapo aliishi Duniani kwa miaka 36.
Tafadhali tusikilize mimbo yake kwa umakini huyu Jesus wetu, mwenye hekima za kipekee Afrika na Dunia yote.
Na kwa wajasiliamali mnaweza kufanya jambo la aina ya kipekee kufanya michakato kupitia brand ya bob Marley sio siri mtatengeza pesa za kutosha maana Afrika hatuna cha kujivunia zaidi Mtume Bob Marley.
Weekend inaanza Peace & Love kwa watu wote, na sio mbaya ukichoma moja special kwa Bob Marley.
bangi zinauzwa kwa kujuana siku hizi ndio maana wengine hatupati hivyo hatutaelewa hii mada
Mkuu hapo kwenye red unamaanisha nini?Mwanangu na Mimi ntembezee cha Arusha nilanduke ili na Mimi nikurupuke
Mwanangu na Mimi ntembezee cha Arusha nilanduke ili na Mimi nikurupuke
Kwa hiyo unataka kusema huamini uwepo yesu?Vitu vikiwa viwili, au watu wakiwa wawili lazima wana utofauti mkuu. Yesu ni neno na Bob nae ni neno la kimataifa kupitia music. Sina ushaidi kama kulikuwa na Yesu ila nina ushaidi Bob Marley alikuwepo Duniani kupitia sauti katika mimbo yake.
Kwa hiyo unataka kusema huamini uwepo yesu?
Nakubalina na wewe Mkuu.. Nakiri kwa Yesu huyu Wa Afrika Bob MarleyVitu vikiwa viwili, au watu wakiwa wawili lazima wana utofauti mkuu. Yesu ni neno na Bob nae ni neno la kimataifa kupitia music. Sina ushaidi kama kulikuwa na Yesu ila nina ushaidi Bob Marley alikuwepo Duniani kupitia sauti katika mimbo yake.
Kabisa naamini hivyo yeye aliamini Mafanikio sio utajiri wa mali bali ni jinsi utakavyoishi na watu kwa kutenda mema na kuwahamasisha wapendaneIla unatambua kuwa maneno ya manabii yana chakachuliwa, ila neno la Bob halita chakachuliwa daima mkuu?