Kimbunga, hapa kidogo sikubaliani na reasoning yako. Embu nawe soma sentensi yako tena. Yani unadhani sababu ya kuumwa sio sigara kwasababu kavuta mda mrefu au sababu ni sigara kwasababu kavuta mda mrefu? Matumizi ya sigara mda mrefu ndio haswa yaletao matatizo. May the outcome be the best. Best wishes Bob Makani.Mkuu nadhani hiyo si sababu kwa kuwa Bob amevuta fegi muda mrefu.
Ah! Kumbe! Wavuta fegi wote gizani wavuta kitu kingine kabisa. Mambo haya yanaanzia form2. Halafu, yeye na Jaji Warioba wanafanana mambo mengi!Mkuu nadhani hiyo si sababu kwa kuwa Bob amevuta fegi muda mrefu.
Mungu atamsaidia mzee huyo apone haraka. FEGI ndo zimemfikisha hapo alipo sasa. Akipona inabidi aache.
Hivi mtu ukisema "Ugua pole" una maanisha achelewe kupona au?
Kiswahili ni lugha maskini sana,....it doesn't make sense at all.
Mungu atamsaidia mzee huyo apone haraka. FEGI ndo zimemfikisha hapo alipo sasa. Akipona inabidi aache.
Get well soon mpambanaji
Mungu amjalie afya njema kwani bado tunamhitaji.
Hahahaaaa umenifurahisha wangu
Wewe Mkuu siyo tangu 2002, huyu Mzee amepigana miaka miiiingi. Nadhani 1995 aligombea Ubunge kule Shinyanga Mjini kwa ticket ya CDM.
Kweli mkuu nilikuwa namaanisha 1992.Aliwahi kufanya mkutano mwaka huo pale Masumbwe na nikiwa mwanafunzi,tulikusanywa na aliyekuwa mwalim mkuu(mwl Kiula)tukaanza kuimba nyimbo za ccm kuzunguka eneo la mkutano.Bob alienda Kahama akaripoti police na mwalim mkuu alikamatwa akawekwa ndan,niliona ajabu sana kwa kipindi kile na tangu hapo nikawa mfuasi wa Bob na upinzan kwa ujumla.
Kimbunga, hapa kidogo sikubaliani na reasoning yako. Embu nawe soma sentensi yako tena. Yani unadhani sababu ya kuumwa sio sigara kwasababu kavuta mda mrefu au sababu ni sigara kwasababu kavuta mda mrefu? Matumizi ya sigara mda mrefu ndio haswa yaletao matatizo. May the outcome be the best. Best wishes Bob Makani.