Bob Makani alazwa Aghakan

Mkuu nadhani hiyo si sababu kwa kuwa Bob amevuta fegi muda mrefu.
Kimbunga, hapa kidogo sikubaliani na reasoning yako. Embu nawe soma sentensi yako tena. Yani unadhani sababu ya kuumwa sio sigara kwasababu kavuta mda mrefu au sababu ni sigara kwasababu kavuta mda mrefu? Matumizi ya sigara mda mrefu ndio haswa yaletao matatizo. May the outcome be the best. Best wishes Bob Makani.
 
Mkuu nadhani hiyo si sababu kwa kuwa Bob amevuta fegi muda mrefu.
Ah! Kumbe! Wavuta fegi wote gizani wavuta kitu kingine kabisa. Mambo haya yanaanzia form2. Halafu, yeye na Jaji Warioba wanafanana mambo mengi!
 
Mungu atamsaidia mzee huyo apone haraka. FEGI ndo zimemfikisha hapo alipo sasa. Akipona inabidi aache.

Fegi zimemfikisha kulazwa Aga Khan... Jamani! Uelewa wa watu kweli tunatofautiana..

Wakati we mwenyewe taarifa za kulazwa umezipatia humu JF...

Kazi bado ipo...
 
Yaani kwa post moja ya tembeleh,unaweza kuandika insha ya maneno hata 3,000 na zaidi... inayomwelezea yeye ni mtu wa aina/ama namna gani...

Nawaambia inawezekana!
 
oooh lord pole mzee wangu jamani alipokuja msiba wa regia akaanguka nahisi yale maumivu bado yanamsumbua ilibidi tuanze kutafuta dereva wake fasta
 
Wewe Mkuu siyo tangu 2002, huyu Mzee amepigana miaka miiiingi. Nadhani 1995 aligombea Ubunge kule Shinyanga Mjini kwa ticket ya CDM.

Kweli mkuu nilikuwa namaanisha 1992.Aliwahi kufanya mkutano mwaka huo pale Masumbwe na nikiwa mwanafunzi,tulikusanywa na aliyekuwa mwalim mkuu(mwl Kiula)tukaanza kuimba nyimbo za ccm kuzunguka eneo la mkutano.Bob alienda Kahama akaripoti police na mwalim mkuu alikamatwa akawekwa ndan,niliona ajabu sana kwa kipindi kile na tangu hapo nikawa mfuasi wa Bob na upinzan kwa ujumla.
 
Mkuu upinzani umeanzia mbali. Bob ni mwanasheria hivyo anazijua haki zake. Mimi nakumbuka mwaka 1991 wakati tupo shule moja maeneo ya Shinyanga tuliandamanishwa kupinga vyama vingi. Baada ya hotuba ya Nyerere na kuridhiwa kwa vyama vingi, tuliandamanishwa tena kuunga mkono CCM kukubali ujio wa vyama vingi!!
 
Kimbunga, hapa kidogo sikubaliani na reasoning yako. Embu nawe soma sentensi yako tena. Yani unadhani sababu ya kuumwa sio sigara kwasababu kavuta mda mrefu au sababu ni sigara kwasababu kavuta mda mrefu? Matumizi ya sigara mda mrefu ndio haswa yaletao matatizo. May the outcome be the best. Best wishes Bob Makani.

Mkuu kwa umri wa Bob nadhani huenda ni maradhi ya kawaida tu na siyo fegi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom