Bob Junior, Wanaume hatujirembi hivi

Hao wote totoz maskini mafanikio Yana gharama yake. Kwanza unavalishwa hereni moja then ya pili halafu kipini halafu mkufu then make up. Basi wamekutafuna
 
Najiuliza sana miaka 20 baadae watoto wetu wa kiume sijui watakuaje?? Nawaonea sana huruma wanawake wa miaka hyo maana watakosa wanaume.....
 
Kuimba kunamkaribia mwanamke zaidi hivyo hatuwa moja kumkaribia ndio kupata mafanikio.

Mkuu aliyekwambia huyu Mwanaume nani? Acha kutuzalilisha having to balls between your legs haitoshi kuitwa Mwanaume.Mwenyewe BOB Junior akikusikia umemfananisha na Mwanaume atakushtaki

Kazi ipo kazi tunayo kama kweli haya ni ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…