Bob Junior, Wanaume hatujirembi hivi

Daaaaa!!! Wanakoishia hawa wabana pua kunajulikana!!!subiri hizo single zigome tu miezi 6 utakuwa wameshachumbiwa!! Wanakunywa bure kulala bure na vipodozi bure!! Subiri tu!!
 
mshana jr huyu anajiita rais wa masharobaro shombe shombe bob junior
 
Last edited by a moderator:
Du! Cku hizi Ommy Dimpoz kabadilika. Anafanana kishenzi na Bob Junior!!

Kwani huyo ni Ommy Dimpoz?

mshana jr huyu anajiita rais wa masharobaro shombe shombe bob junior

mshana jr katika ubora wake,huyo ni Bob Junior Rais wa Wasafi Shombe Shombe Baby.

Asanteni kwa masahihisho nimegundua kosa liko wapi SORRY OMMY DIMPOZ
Nimeshawasiliana na mods wafanye masahihisho
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mshana jr..leo hujapata morning glory ninii??:smile-big:
 
Hebu wakuu nambieni huyu Dimpoz nyimbo zake anavyovuruga lugha ya kiswahili anamfurahisha Nani. Sikieni wanjera ni utumbo mtupu utafikiri hakupitia madrasa. Hivyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…