tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Acha kupenda vya bure wewe Google uongezee Uzi sio kulaumu bila sababu
joka hili ndio joka kubwa sana katika dunia hii, alionekana na kuuwawa uko kusini masharikia mwa malasya nyoka uyo (giant snake) alikuwa na uzito wa kg 300 urefu 55feet, 16.7meters likiwa na umri wa miaka 140 , mtu aliemgundua nyoka uyo alipatwa na mshituko wa moyo na alifariki bahadae, billdozer ndio lilitumika kumnyanyua nyoka uyo
Kwenye picha anaonesha ni mkubwa kuliko hizo kilo 300, alikuwa anafanya "diet"?
Halafu ndiyo unakuta halijakufa vizuri...Kilo 300 mpaka tingatinga!! Harafu ni nyoka,wanaume sita tuu wananyenyua!!
Halafu ndiyo unakuta halijakufa vizuri...
Sasa walimuua wa nini jitu limeishi miaka 140 halijamdhuru mtu. Itakua kilo elfu 3 sio mia 3.
anayejadiliwa hapa ni NYOKA
Aliyeniona kwa mara ya kwanza tu alizimia, itakua wewe mkuu?nduki lake hapo daah!
watu mnajua kupotea sihaba.babaake excel habari za masiku?
Nasema hata wewe bado hujalitendea haki kuliita joka !
Liite jijoka !
Hata mimi nashangaa kilo 300 tu greda?? Hata ng'ombe wengine wamelizidi huo uzito.Kilo 300 tu hadi greda.
joka hili ndio joka kubwa sana katika dunia hii, alionekana na kuuwawa uko kusini masharikia mwa malasya nyoka uyo (giant snake) alikuwa na uzito wa kg 300 urefu 55feet, 16.7meters likiwa na umri wa miaka 140 , mtu aliemgundua nyoka uyo alipatwa na mshituko wa moyo na alifariki bahadae, billdozer ndio lilitumika kumnyanyua nyoka uyo
Mijitu mingine bwana! yaani baada ya kumuuliza matukio ya miaka 140 iliyopita wao wanaamua kumuua shahidi pekee waliyemwona!Sasa walimuua wa nini jitu limeishi miaka 140 halijamdhuru mtu. Itakua kilo elfu 3 sio mia 3.