mbona kidogo sana 8% mimi nashauri iwe 50% ya mshaara iliishe mapemaBoard ya mikopo wanakata 8% ya mshahara kama lejesho la deni kwa walionufaika na mikopo,
ninachokiona mm wanafunzi wananufaika kwa kiwango tofauti, kuna wenye asilimia mia adi sifuri, na kuna wanaosoma miaka 3 adi 4,
mkopo nijuavyo mwenye deni kubwa ndio analipa kiasi kikubwa kwa kuweka 8% kwa wote ninaona kama sio faer, ukizingatia na mishahara ni tofauti.
sijui wana jf mnaonaje wezangu
mbona kidogo sana 8% mimi nashauri iwe 50% ya mshaara iliishe mapema
Mi naona ni sawa tu kwani unamaliza deni kwa haraka na kuendelea na mipango mengine ya maisha.Board ya mikopo wanakata 8% ya mshahara kama lejesho la deni kwa walionufaika na mikopo,
ninachokiona mimi wanafunzi wananufaika kwa kiwango tofauti, kuna wenye asilimia mia adi sifuri, na kuna wanaosoma miaka 3 adi 4.
Mkopo nijuavyo mwenye deni kubwa ndio analipa kiasi kikubwa, kwa kuweka 8% kwa wote ninaona kama sio fair, ukizingatia na mishahara ni tofauti.
Sijui wana jf mnaonaje wezangu
mbona kidogo sana 8% mimi nashauri iwe 50% ya mshaara iliishe mapema
hawa jamaa si walisema wanafungulia kesi wale wote ambao watakuwa wame default kulipa na waliweka na dead line kabisa, sasa mbona sijaskia tena kama wameshawapeleka mahakamani?
Board ya mikopo wanakata 8% ya mshahara kama lejesho la deni kwa walionufaika na mikopo,