Mkwaruzo
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 563
- 98
Pamoja na kuwa napenda sana kutumia jf tokea nikiwa siyo memba hadi sasa nimeshajiunga, kwa sasa imekuwa tofauti. Sijuwi ni kwangu tu au na kwa wengine wanaotumia simu pia. Tatizo ni hili, siku hizi ninapofungua jf katika scree inakuja ile vision ndogo kama vile natumia kimeo na ninapobofya ktk PC Mode inafunguka full kama vile natumia computer wakati siku za nyuma ilikuwa inakuja site ya saizi ya kati ambayo ilikuwa inaniruhusu kuona hadi pic za avatar zenu then nilikuwa nashuka moja kwa moja bila ya kwenda kulia na kushoto.
Mi naamini ni suala la waendeshaji wenyewao ila nimeazia hapa ili kujua tatizo hili ni kwangu tu au na kwa wengine pia. Au kwenu mmeona siyo tatizo ila ni mm tu?
Mi naamini ni suala la waendeshaji wenyewao ila nimeazia hapa ili kujua tatizo hili ni kwangu tu au na kwa wengine pia. Au kwenu mmeona siyo tatizo ila ni mm tu?