Habari wadau naomba kujua BMW X 3 PETROL NA BMW X 3 DIESEL IPI NI NZURI NA NINI KIBAYA KATI YAO. Naomba msaada plsss
Gari ya Diesel yenye Turbo ni gari nzuri kuliko gari ya Petrol. Kwanza ina fuel consumption ndogo, ina acceleration nzuri tu (japo sio kama ya Petrol), ni nzuri kwa safari ndefu, ina muungurumo mzuri wa Turbo ila pia ina muungurumo mkubwa kuliko gari ya Petrol.
In short, ukinipa chaguo kati ya gari ya Diesel na Petrol, nitachagua gari ya Diesel. Pia Diesel engine hudumu zaidi kuliko ya Petrol.
Diesel inazingua sana tofauti na petroli japo utainjoy wese consumption!Kwny consumption gari ya diesel iko poa
Kwa gari za zamani kidogo engine ya petrol ilikua inachanganya faster kuliko ya diesel lkn kwa gari za siku hizi ni kama difference ni ndogo/negligible.
Kwny maintainance diesel engine ni expensive kuliko ya petrol.
Tofauti ya maintananve inaweza kua kiasi gani? Mfano assume Petrol ni 1m, diesel je?Kwny consumption gari ya diesel iko poa
Kwa gari za zamani kidogo engine ya petrol ilikua inachanganya faster kuliko ya diesel lkn kwa gari za siku hizi ni kama difference ni ndogo/negligible.
Kwny maintainance diesel engine ni expensive kuliko ya petrol.
Kvp mkuuDiesel inazingua sana tofauti na petroli japo utainjoy wese consumption!
Chukua ya dieselHabari wadau naomba kujua BMW X 3 PETROL NA BMW X 3 DIESEL IPI NI NZURI NA NINI KIBAYA KATI YAO. Naomba msaada plsss
Kama zote ni za mwaka mmoja, kila kitu ni sawa isipokuwa engine tu. Tofauti gari ya diesel kila service unatakiwa ubadili filters zote wakati ya petrol unaweza kubadili oil filter tu filters nyingine unabadili next service. Hiki ndio kinafanya gari ya diesel service yake iwe juu kuliko ya petrol lakini kwenye utumiaji wa mafuta diesel iko vizuri kwahio ngoma drooHabari wadau naomba kujua BMW X 3 PETROL NA BMW X 3 DIESEL IPI NI NZURI NA NINI KIBAYA KATI YAO. Naomba msaada plsss
Diesel ni gari korofi kimfumo. Petrol hainaga kwere we elewq hilo tu!Kvp mkuu
Picha ya petrol au diesel?